Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kesi ilikua rahisi kwa sababu alikiri
Iwe kama kwa wale wanaokwenda kwa DPP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ilikua rahisi kwa sababu alikiri
unajuaje alikuwa anafanya masihara?
usifuatishe vichwa vya habari vya magazeti uozo yetu haya
masihara ni utetezi wake kizimbani, ambao mahakama imeukataa...
Vp kuhusu yule aliyetishia kumuua lisu?Ni kosa kisheria jamani, hata wewe ukitishwa kuuawa nenda kashtaki.Mimi nimewahi kumshtaki mtu kwa kunitamkia kwamba ataniua ila badae nikamuonea huruma sikwenda mahakamani mpaka kesi ikafutwa. Pamoja na hayo Rais ni nembo ya Taifa unatishia vipi kumuua hata kama unatania.
Tuache ushabiki wa kijinga.
Ukiongea upuuzi hadharani ndio utajua kama zinatutosha au hazitutoshi.miss zomboko,
Hitler wa Cardinal Pengo swali la kujiuliza, ana jela za kututosha sisi sote?
Yes, umenena vema na huu ndio ukweli, kutishia kuua ni kosa haijalishi umemtishia nani. Lkn pia mtu kutishia kumuua Rais halafu unapowekwa kwenye mkono wa sheria ndio unasema nilikuwa natania sio sawa. Vipi mkipuuzia huo utana na akafanikiwa kufanya anachokiita utani, nani atalaumiwa hapo.Ni kosa kisheria jamani, hata wewe ukitishwa kuuawa nenda kashtaki.Mimi nimewahi kumshtaki mtu kwa kunitamkia kwamba ataniua ila badae nikamuonea huruma sikwenda mahakamani mpaka kesi ikafutwa. Pamoja na hayo Rais ni nembo ya Taifa unatishia vipi kumuua hata kama unatania.
Tuache ushabiki wa kijinga.
Nani alimfungulia mashtaka hata hatua ichukuliwe? Lissu akashtaki na atashinda maana mashahidi wako wengi.Televised address Cyprian Msiba amesema wazi wazi Lissu akirudi atampiga risasi afe na safari hatakosea shabaha! kipi kimechuliwa??? Spare me with rubbish
Huyo raia mwema mwenye kihere here hivyo ni sijawahi ona.
nenda Heathrow aiport tishia una bomu halafu waambie natania uone kiama chakeKwa hiyo alimaanisha kumuua rais au ukweli unaoufahamu wewe ni upi?
Vyovyote iwavyo point yangu ni kuwa watu wausome utawala uliopo na kujua waende nao vipi.
"Joke or not, these types of comments are felonies under the law," the sheriff's office said in a statement Monday. "After the mass violence we've seen in Florida and across the country, law enforcement officers have a responsibility to investigate and charge those who choose to make these types of threatening statements."Hata kama kuna uhuru hii si sawa kutishia kumuua mtu YEYOTE yule si sahihi hata kidogo. Sijui hata kama huko majuu wanafanya haya
Papa John Paul 11 alifyatuliwa risasi mwaka 1981na raia wa Uturuki Mehmet Ali Agca katika jaribio la mahuaji kwenye viwanja vya St.Peters Basilica.Alikosea sana
Narudia tena Sijaona Kosa hapo, nimetoa mifano michache ya hicho unachokiita sheria, Hivi unajua iKila raia ana haki sawa mbele ya sheria ?, hao askari walioua na huyu aliyetania kwamba ataua, nani ana kosa linalostahiri adhabu ?, huyo kijana amekiri kwamba alisema hayo maneno wewe unataka kulazimisha kwamba amekiri alitaka kumuu, !!, wewe ni mtetezi wa wapangaji wa Ikulu ?, naamini unajaribu kujifanya mwehu ilhali una akili timamu, huyo malaika wenu mnamtetea ili mteuliwe ?, wengine mko mbali sana sio rahisi kuonwa, Kijana mmoja raia wa Argentina alimfyatulia risasi Papa John Paul ll mwaka 1984 lakini Papa aliamuru huyo kijana aachiwe huru !!