Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Kama yuko darasa la saba, inaelekea hata akili haijakomaa kwa kuwa na watoto muda wote, waalimu/ wazazi/jamii kumchukulia ni mtoto.Kwani alikuwa na tatizo lolote la afya ya akili? Maana miaka 22 ni mtu mzima na anauelewa wa kuweza kujitete na kudai haki yake.