Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

Yaan umalize chuo Tu uwe tajiri??kwani ulikuwa unasomea kutengeneza pesa?? Yaan uje na degree yako ya unesi, procurement, language ( kuna MTU alisema ana degree ya kiarabu)....sijui degree ya fyoko fyoko utajili utauona na kuusikia nyumba ya jirani
Acha kuwa curious wewe twende Kwa Ushauri.

Nipe madini Mimi nataka kufanikiwa Tu.
 
Tuachane na hayo yashatokea.

So ndo Hivyo huyu demu alikuwa mkoa anafanya biashara nilmfungulia japo Haijasimama ndo nataka nimrudishe Dar sasa hapa nawaza tunafanya issue gani maana Mimi wa 12 ndo mwisho plus kuna kiumbe kinakuja soon Na ndio maana natafuta biashara hapa
Biashara nzur ya mgahawa watu lazima wale ila hizo ulizotaja hapo hutuboii
 
Unafikili mafanikio yanakuja kizembe hivo.......hapa hakuna motivation speaker......bro kuna watu mpaka Leo hawaja toka Kwa kusomea ufala eti kisa degree
 
Kichwa changu kina waza mengi...
Aisee hongera kumaliza chuo kikuu ,lakini pia sijajua uko mkoa gani!? kama uko dsm,hyo hela yako inatosha kabisa kutafuta sehemu nzuri ambapo utaanzisha biashara ya kubandika kucha na kupaka rangi wa dada ,kama hauwezi wewe unaweza tafuta kijana unayemuamini akakusaidia.Sema aisee saa hizi inabidi ufocuse na huyo mdada usimtelekeze upambane kiume.
 
Uza diko mwanangu watu wanakula deile mi mwenyewe nataka nifungue genge la chakula
 
Watu wanaingia chaka sana hapa...mwenzenu kasema anataka kuwa TAJIRI..!!! NYIE MNAMPA MBINU ZA KIBIASHARA ILI AWEZE KU SURVIVE.! WTF
 
Tatizo sio biashara inayolipa, muhimu kuliko yote ni jinsi ya kuendesha hiyo biashara. Wengi wameambiwa hilo unaloulizia (biashara gani ina faida kubwa), lakini walipoanza, haikuchukua muda, ikafa. Nakushauri, kwa kipindi hiki cha miezi sita, hudhuria mafunzo ya ujasiriamali ili upate skills za kuendesha biashara. Na utakapoanza hiyo biashara, anza na mtaji mdogo huku ukisoma mwenendo wa biashara, ukiona maendeleo mazuri, ndipo uongeze mtaji.
Asante Sana Kwa ushauri wako
 
Anaweza kujilipua,

kuwa jambazi, Madawa ya kulevya uza,
kuuza tako, uchawi kwa wakinga ile kuku anakula punje., uchawi wa kutesa na kuua ndugu zako. YOTE HAYO UTAFAIDIK. Ila nakushauri fanya kazi hakali upate pesa.
Asante Kwa ushauri
 
Aisee hongera kumaliza chuo kikuu ,lakini pia sijajua uko mkoa gani!? kama uko dsm,hyo hela yako inatosha kabisa kutafuta sehemu nzuri ambapo utaanzisha biashara ya kubandika kucha na kupaka rangi wa dada ,kama hauwezi wewe unaweza tafuta kijana unayemuamini akakusaidia.Sema aisee saa hizi inabidi ufocuse na huyo mdada usimtelekeze upambane kiume.
Asante Sana Kaka Kwa ushauri Wako
 
Watu wanaingia chaka sana hapa...mwenzenu kasema anataka kuwa TAJIRI..!!! NYIE MNAMPA MBINU ZA KIBIASHARA ILI AWEZE KU SURVIVE.! WTF
Sasa Kaka utajiri si lazima tuanze huku wanakotoa mawazo kiuhalisia natamani Sana kumiliki hela
 
Back
Top Bottom