Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaan umalize chuo Tu uwe tajiri??kwani ulikuwa unasomea kutengeneza pesa?? Yaan uje na degree yako ya unesi, procurement, language ( kuna MTU alisema ana degree ya kiarabu)....sijui degree ya fyoko fyoko utajili utauona na kuusikia nyumba ya jirani