Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

Yaan umalize chuo Tu uwe tajiri??kwani ulikuwa unasomea kutengeneza pesa?? Yaan uje na degree yako ya unesi, procurement, language ( kuna MTU alisema ana degree ya kiarabu)....sijui degree ya fyoko fyoko utajili utauona na kuusikia nyumba ya jirani
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushaharibu na tayari mkataba unaenda kuisha unaanza kumbuka kuwa tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…