Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Dah nilikuepo pande hizo miaka ya nyuma kidogo .yaani mpaka leo naona kama DISHI langu liliyumba kidogo .siokama nilivyokua kabla
Inkosi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] pole mkuu
Emaphakadeni
Tatizo jeshi wanataka mtu wa kujitolea kwa ajili ya jeshi N si kujiunga kwa ajili ya kusaka ajira.. Ukionekana umefuata maslahi ni ngumu sana kupata ajira, na wengi huangukia kusota tu.
Kule kila unachofanyiwa na majukumu unayopewa ni sehemu ya majaribio kukujua upo kwa ajili gani na kama unastahili kuwa mwanajeshi. Hawakuchukui kiholela tu kama wanataka vibarua wa mashamba, wanataka mtu kamili kujitolea jeshini kwa lolote
Wazo zuri sana me naongezea hapoHakuna ubunifu na mikakati...
Veta + JKT wanauwezo wa kuungana na kuzalisha mazao, vifaa kwa wingi Hadi kuuza nje ya nchi...
Inkosi
Mkuu acha kudanganya, mwenye mkono mrefu na connection nzuri ndiye anayepata nafasi Kama huna utaishia kujitolea tuTatizo jeshi wanataka mtu wa kujitolea kwa ajili ya jeshi N si kujiunga kwa ajili ya kusaka ajira.. Ukionekana umefuata maslahi ni ngumu sana kupata ajira, na wengi huangukia kusota tu.
Kule kila unachofanyiwa na majukumu unayopewa ni sehemu ya majaribio kukujua upo kwa ajili gani na kama unastahili kuwa mwanajeshi. Hawakuchukui kiholela tu kama wanataka vibarua wa mashamba, wanataka mtu kamili kujitolea jeshini kwa lolote
Mafunzo yoyote ya kijeshi hayamwachi mtu mentally fit 100%. Wengi hupata psychological recovery baadaye.Dah nilikuepo pande hizo miaka ya nyuma kidogo .yaani mpaka leo naona kama DISHI langu liliyumba kidogo .siokama nilivyokua kabla
Uko sahihi. Inatakiwa mikakati madhubuti pindi wanapoingia huko kwani once wanapotoka na kurudi mtaani ni rahisi kutumika visivyo kwani uzalendo sasa kwa vijana hakuna zaidi ya kusaka ajira majira, fikra, na mitazamo ya vijana wa sasa si sawa na enzi hizo mkuu!!!Rai yangu wasije jiingiza kwenye Makundi mabaya hasa misimamo mikali ya dini/ Imani. Maana nina uhakika wakipata mentor wa kuwapandikiza mabaya na njaa waliyonayo basi chochote chaweza tokea.
Serikali ifuatilie movement ya hawa watu. Isiishie tu kusema "walisaini fomu kujitolea sio ajira"
Hiki kizazi chaweza kuwa haramu baadae kama hakuna jambo litafanyika
Emaphakadeni
Hili tatizo lipo mpaka kwa graduates wa vyuo vikuuNimefuatilia mazungumzo ya vijana kadhaa waliomalima mikataba yao ya jkt miaka 2 na wengine kuongezewa miaka au miezi kisha kurudi nyumbani bila ajira. Wengi wao akili zao zinakuwa na walakini utadhani watu wanaotafuta Rupia ya Mjerumani mapangoni na milimani.
Unaweza ukamuuliza swali moja akakujibu na maswali usiyomuuliza. Anakaa anasubiri nafasi za jeshi anasahau kuwa makambini nako kuna vijana wenzake ambao ni wabichi zaidi yake. Nilimsikia mmoja leo ananiuliza kuna nafasi za polisi, uhamiaji, fire na zimamoto zimetoka umeziona?
Nikamjibu hakuna nafasi, anasema zipo zitatangazwa mda wowote nazisubiri. Nilimuonea huruma sana.
Mwingine akisikia Mh. Rais anahutubia tu anasikiliza huenda Rais atatoa tamko Op. Magufuli wote waajiriwe.
Hebu serikali ibadili mfumo wa jkt, kwakweli vijana hawaendi kule kujitolea bali wanakwenda kusaka ajira ndio maana kule humkuti mtoto wa kigogo na ukimkuta huyo harudi nyumbani baada ya kujitolea.
Vijana wanaorudi wengi akili zinafyatuka kidogo na kimbilio lao ni kwenye makampuni ya ulinzi ikiwemo SUMA JKT GUARD ambako hawapati fedha ya kukidhi mahitaji yao.
Thanks.
Kipindi nilivorudi kitaa watu mtaani wakawa wananishangaa .nikawa najiuliza labda kunavitu nafanya tofauti na jamii ilivyozoea.baada ya mida fran nikaanza kuhisi nnamapungufu fran....ila kule kuna rafiki zangu baadhi walikua .viziwi .wengine midomo kwenda upande .wengine kuwa machizi ..kwamfano mwingine kupanda juu ya mti kama anaendesha gari..na mengine mengi...siwezi kutaja yoteUko sahihi. Inatakiwa mikakati madhubuti pindi wanapoingia huko kwani once wanapotoka na kurudi mtaani ni rahisi kutumika visivyo kwani uzalendo sasa kwa vijana hakuna zaidi ya kusaka ajira majira, fikra, na mitazamo ya vijana wa sasa si sawa na enzi hizo mkuu!!!
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Umeamua kuja kunitangaza huku Mnyabi !?Kuna mwingine yupo mahali flani yeye ni kuvaa buti za jeshi muda wote. Kwa kweli waangaliwe kwa jicho la huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaokubali mapema kwamba wamepoteza muda na kuchukua hatua mapema,huwa wanafanikiwa.
kuna jamaa yeye alienda huko akiwa na 24,akachapwa 2yrs,akarudi nyumbani,akaanza shule form 1 mpaka 4,akazungusha.akiwa kakubali matokea akaanza kupiga vibarua,akakutana na mzee mmoja akawa anamlishia majani ng'ombe wake,kumbe mzee ni boss TANAPA akaajiriwa huko.nadhani mpaka ninavyoongea saa hizi anawacheka wenzie waliobahatika kupata kazi miaka 7 kabla yake.
hatma ya mtu iko mikononi mwa Mungu jaman,msiwaache peke yao wadogo zenu,kaeni nao muwaeleze tu,si kila ndoto hutimia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi tangu nitoke JKT akili yangu imechange. Am not crazy but am not that person.Kipindi nilivorudi kitaa watu mtaani wakawa wananishangaa .nikawa najiuliza labda kunavitu nafanya tofauti na jamii ilivyozoea.baada ya mida fran nikaanza kuhisi nnamapungufu fran....ila kule kuna rafiki zangu baadhi walikua .viziwi .wengine midomo kwenda upande .wengine kuwa machizi ..kwamfano mwingine kupanda juu ya mti kama anaendesha gari..na mengine mengi...siwezi kutaja yote