Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #81
Siku moja kazini kulitangazwa nafasi kama 20 hivi za short term contract. Sifa ni kidato cha NNE, aiseee wengi wa waliokuja kufanyiwa usaili ni degree holders. Hali si haliSijakataa kwamba hakuna waliojiongeza ila walio wengi wapo wapo tu hawana hili wala lile kucha kutwa kuzunguka na vibahasha vya kaki maofisini kutafuta kazi na kazi zenyewe hakuna. Ukitaka kuthibitisha hili tangaza nafasi za kazi uone lundo la graduates watakaojitokeza