Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sandali .nimekuelewa.Mimi tangu nitoke JKT akili yangu imechange. Am not crazy but am not that person.
Waulize bunge hilo swaliSasa watafanyaje?
Na wale wanaoenda universities huwa hawajui lengo la kwenda huko?Hivi wanaoenda jkt bado huwa hawaelewi lengo la wao kwenda jkt?
Jkt hawatoi ajira, hilo ni jeshi la kujenga taifa.Na wale wanaoenda universities huwa hawajui lengo la kwenda huko?
Ajira ni haki ya kijana. Au kwakuwa katiba haijawwka wazi ndio maana wajifanya hujui?
Hivi ni vituko sana, unamwamini mtu atakupa ajira huku upo mtaani, alishindwa vipi kukuunga while uko depo?Kuna jamaa nilimkuta katika moja ya ofisi za serikali nae ni mlinzi kutoka suma JKT,umri mika 32 lakini mawazo yake ni kuwa msodger alinieleza mikakati mingi pamoja ana ahadi alizo pewa na mtu mkubwa uko mafunzoni kwamba asubili ajira atapata JWTZ,sio hawa tu hata walio maliza chuo na wapo mtaani miaka 5 hadi 8 lakini bado wanaimani ipo aiku mungu atajibu maombi.
Ni waase vijana wenzangu mlio maliza chio mchangamshe akili zenu kabla azija zeeka na kiwa na malazi nyemelezi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakika mkuu,mimi mwenyewe number naisoma kila interview nakosa kaziBongo mambo mengi yanaenda kwa connection, kama huna connection namba utaisoma
Pole sana mkuu,yaani na haya mambo ya kusoma halafu unakosa ajiraHakika mkuu,mimi mwenyewe number naisoma kila interview nakosa kazi
Mkuu, mimi naona watu(wasomi) wabadili mawazo tu hususan sisi ambao hatuna connection tujikite kwenye biashara ndogo ndogo mfano kuuza nguo za mitumba (online) au kwenye minada au kuanzisha kijiwe cha kutundika nguo asubuhi jioni unarudi nazo home, tuuze ubuyu,karanga,ndizi mbivu na biashara ya Genge kwa ujumla nk tusitegemee hizi ajira zilizojaa kujuana (connection) kwa maana yaani hata kujitolea nimekosa kila ofisi wanasema wamejaa, wakichukua cv yako hujibiwi n'go.Pole sana mkuu,yaani na haya mambo ya kusoma halafu unakosa ajira
Wallah roho inauma sana
swadaktaRai yangu wasije jiingiza kwenye Makundi mabaya hasa misimamo mikali ya dini/ Imani. Maana nina uhakika wakipata mentor wa kuwapandikiza mabaya na njaa waliyonayo basi chochote chaweza tokea.
Serikali ifuatilie movement ya hawa watu. Isiishie tu kusema "walisaini fomu kujitolea sio ajira"
Hiki kizazi chaweza kuwa haramu baadae kama hakuna jambo litafanyika
Emaphakadeni
Hivi ni vituko sana, unamwamini mtu atakupa ajira huku upo mtaani, alishindwa vipi kukuunga while uko depo?Kuna jamaa nilimkuta katika moja ya ofisi za serikali nae ni mlinzi kutoka suma JKT,umri mika 32 lakini mawazo yake ni kuwa msodger alinieleza mikakati mingi pamoja ana ahadi alizo pewa na mtu mkubwa uko mafunzoni kwamba asubili ajira atapata JWTZ,sio hawa tu hata walio maliza chuo na wapo mtaani miaka 5 hadi 8 lakini bado wanaimani ipo aiku mungu atajibu maombi.
Ni waase vijana wenzangu mlio maliza chio mchangamshe akili zenu kabla azija zeeka na kiwa na malazi nyemelezi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Niliitafuta video ya ngono ile ya mtoto wa Kenya na sponsor wake niksikosa. Siku moja kazini rafiki yangu akanionyesha nikamwambia itume haraka kwangu.Mkuu, mimi naona watu(wasomi) wabadili mawazo tu hususan sisi ambao hatuna connection tujikite kwenye biashara ndogo ndogo mfano kuuza nguo za mitumba (online) au kwenye minada au kuanzisha kijiwe cha kutundika nguo asubuhi jioni unarudi nazo home, tuuze ubuyu,karanga,ndizi mbivu na biashara ya Genge kwa ujumla nk tusitegemee hizi ajira zilizojaa kujuana (connection) kwa maana yaani hata kujitolea nimekosa kila ofisi wanasema wamejaa, wakichukua cv yako hujibiwi n'go.
Nasikia kazi yao kulima na kumwagilia bustani wakiwa JKT.Hakuna ubunifu na mikakati...
Veta + JKT wanauwezo wa kuungana na kuzalisha mazao, vifaa kwa wingi Hadi kuuza nje ya nchi...