Town Hustler
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 277
- 367
Huyo kipigo akichokipata huko safe house ndio kitakuwa kimemuondoa
Alimpiga kof lin?Huyo kipigo akichokipata huko safe house ndio kitakuwa kimemuondoa
Alimpiga kof lin?
Ilkuw linHuyo kipigo akichokipata huko safe house ndio kitakuwa kimemuondoa
Ilkuw lin
Alifungwa hakumaliza kifungo kutokana na matatizo ya akili aliyokuwa bayo hadi amefariki leo ghaflaHivi alifugwaga aliachiwa
Miaka kadhaa ilopitaIlkuw lin
Niliwahi kuona video youtube ila sikujua baada ya pale alipelekwa wapi?Huyo kipigo akichokipata huko safe house ndio kitakuwa kimemuondoa
Mwinyi alimsameheHivi alifugwaga aliachiwa
Mzee Mwinyi alisema wamsamehe, wakamuachia.Hivi alifugwaga aliachiwa
Aliachiwa sababu hakuwa na akili timamuMzee mwinyi alisema wamsamehe, wakamuachia.
Mara ya mwisho nilimuona miezi miwili iliyopita, nilipaki gari pale IFM posta, akaja akaanza kukunja side mirror kwa nguvu. Nilikosa cha kumfanya kwa muda huo, maana alikuwa amerukwa na akili. Niliwauliza wenyeji huyu chizi katoka wapi, ndiyo wakanipa historia yake.
Daaah, kumbe mshikaji ameshafariki!!!
R.I.P
Duh, kumbe jamaa alisomaTulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma Mzumbe
Baada ya hapo matatizo yakaanza
Mzee mwinyi alisema wamsamehe, wakamuachia.