Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Poleni wafiwaWaungwana
Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amrfariki dunia asubuhi hii
Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondom ambayo ni kinyume na omani ya Kiislamu
Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu