TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Jamaa nilikuwa namuona IFM ila hadi namaliza nilikuwa sijui anasoma course gani. Alikuwa akiingia lecture yoyote anazingua mara anazima AC au taa halaf anasepa, alikuwa anapiga pensi fulani ndefu hiv na kichwani para
#R.I.P
 
Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys

Baada ya hapo matatizo yakaanza


Olevel na Advance level alipata sio tu division one bali one ya kuweza kuchaguliwa shule ya Vipaji maalum Tabora boys na Ilboru tena zile za kabla ya Shule za Kata

Mungu ampe kauli thaabet
 
kama ni miaka ya 90 basi sema ni zaidi ya miaka 15. kwamaana hata ingekuwa ni 99, hadi leo ni miaka 20. au we waitara, maana hesabu zako unazjua mwenyewe

Are you drunk? Niliemjibu aliandika miaka mingapi?
 
Duuh
Screenshot_20190602-214554.jpeg
 
Waungwana
Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii
Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu
Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Yule aliyempiga Judge Warioba siku nakufa jiji la Dsm litarindima kwa furaha
 
Back
Top Bottom