Habari kijana under 25.
Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea.
Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani.
Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao hauna connections maofisini ama biashara kubwa jitahidi wewe kujenga brand kwa njia ya yoyote halali.
Usiwe na aibu.
1. Jifunze kuigiza. Na nenda kaombe chance kwa ma director wa tamthilia za kibongo hata kwa kujitolea tu.
2. Jifunze bongo fleva hata kuimba singeli . Wimbo mmoja tu ukibahatisha uka hit. Ghafla Unapata mtaji wa nguvu
3. Tengeneza content za social media. Tik tok, instagram na youtube. Zitakusaidia kupata followers wengii na kukupa umaarufu
4. Jifunze U MC wa masherehe. Kuna hela nyingi sana za kizembe zembe . Unaongea masaa matatu tu unachukua milioni za michango ya harusi hizo.
5. Jifunze utangazaji wa habari. Hata kama hujasomea taaluma hiyo. ( taaluma hii inakupa umaarufu na kujenga brand fasta )
Bongo umaarufu unawapa watu connections kali sana. Utakutana na watu wengi wanaoweza kukupa ajira kwenye ulichosomea chuo. Na hata ukuu wa wilaya, ubunge ama uwaziri