Mkuu hisia zisikuongoze, una uhakika ni ushirikina?.Ndugu zangu wachaga zama za ushirikina zimepitwa na wakati, Badilikeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hisia zisikuongoze, una uhakika ni ushirikina?.Ndugu zangu wachaga zama za ushirikina zimepitwa na wakati, Badilikeni!
Lakini ni watu sio mahayawani!Ndy matatizo ya kuishi sehemu mko watu lundo, choo kimoja na bafu....lazima utajisaidia ndani tu kwenye mandoo na machupa
Ova
Toka lini malaya akawa msafi chief. Neno malaya tu tayar ni uchafu. Tena uchafu kiroho, sasa sembuse wa mwilini???Huyo malaya wako nae mchafu sana,anakojoa kwenye ndoo akimaliza ananawaje maji?
Mwamba alikuwa anataka kujenga mtambo wa biogas..!
Mungu muokoe kijana huyo na changamoto zote.....Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa
=====================================
Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia, mahusiano, maamuzi, maisha binafsi, aibu, n.k. yaweza kuwa mtu kutokubaliana na hali yake mfano ugonjwa / ulemavu wa ghafla, kufilisika, kufiwa na mtu muhimu, kuwa blackmailed, n.k.
Inafikia wakati depression inamfanya mtu kujitenga na kujifungia ndani, hataki kukutana na watu, hii inapelekea watu kuanza kukojoa kwenye chupa, wengine waliotafunwa zaidi na depression wanajisaidia kwenye ndoo.
Utamtambuaje mtu mwenye Sonona?
- Kuwa na huzuni muda wote/mwingi
- Kukosa raha
- Kukosa usingizi wa kutosha
- kulala sana na kushindwa kuamka asubuhi
- Kutofikiri vizuri, kichwa kuwa kizito na kujisikia kama hawezi kufikiria chochote cha maana
- Hisia ya kukata tamaa ya maisha
kuwaza/kutaka kujiua- Kujilaumu/kujiona mwenye hatia/makosa
- Kutojiamini
- Kujiona ni mtu wa kushindwa au kufeli katika kila kitu
- Kutojali usafi wa mazingira na mwili wake
- kuanza kujiongelesha akiwa peke yake maneno ya kujichukia
- Kukaa peke yake/kujitenga/kutostahimili usumbufu/kelele hata kidogo
Aliyekamatwa na aliyekamata nani hapo anatatizo la akili? Embu tusaidieHuyo jamaa Anaweza kuwa na Ila hao wanaomshangaa ndo wana tatizo zaidi.
Amina.Mungu muokoe kijana huyo na changamoto zote.....