Kijana amuua mama wa kambo akidai amemroga. Umasikini ni mbaya kuliko Corona

Kijana amuua mama wa kambo akidai amemroga. Umasikini ni mbaya kuliko Corona

Huyo kijana sio mwendawazimu. Kuna jambo nyuma ya pazia.

Haiwezekani tu amrukie na kumtia mapanga ya kichwa.

Hawa wachawi huwa wanajifanya wakarimu sana na unaweza kushawishika kuwaonea huruma, lakini wakiwa gizani wanakushughulikia haswa mpaka wanakumaliza.

Hata biblia inasema USIMUACHE MWANAMKE MCHAWI AISHI.

KATA SHOKA LA KICHWA.

Ukikamatwa na serikali waambie nimeua kwa madhumuni ya KUJILINDA na KUJIHAMI.
Swadakta!
 
Acha uvivu wewe! Fanya kazi kwa bidii ili ufanikiwe. Uchawi ni imani potofu! Kiufupi tu, HAKUNA UCHAWI!

Na ushahidi uko wazi, wanao amini uchawi karibia wote ni watu masikini na wasio na elimu! Asilimia chache zilizobaki, ndiyo huchukuliwa na wanasiasa wa ccm, na baadhi ya viongozi wa vilabu vya mpira wa miguu.
una fikra finyu sana endelea kujifunza ipo siku utaelewa tu

baba angu alikua kama wewe haamini hayo mambo ila kilchokuja kumkuta kutoa madudu tumboni ndio imani ikabadilika

usiombe yakukute
 
Bila shaka wewe ni mchawi na unajitutumua kunitisha.

Nikueleze tu kuwa, sitishiki.

Na ukikaa vibaya nitakuvunja kiuno kwa namna ya ajabu mno.

Na kwa sababu sheria za nchi zinatambua uchawi, huko pia nitakushughulikia kikamilifu.

Salama yako ni kutupa matunguli na kujisalimisha kwa Yesu Kristo.
Uchawi ni nini?

Ambokile ni jina la kinyakyusa nishawahi soma na Ambombile alikua mtata na alipenda kuita uchawi kila kitu ambacho hakielewi
 
una fikra finyu sana endelea kujifunza ipo siku utaelewa tu

baba angu alikua kama wewe haamini hayo mambo ila kilchokuja kumkuta kutoa madudu tumboni ndio imani ikabadilika

usiombe yakukute
Kutoa madudu tumboni ndo uchawi?

Hata minyoo nayo utasema ni uchawi kwasababu ni wadudu wanaokaa tumboni?
 
Umeandika mikojo mitupu sijui watu humu mnatumia nini kufikiri unataka kuniambia maskini wote ni wachawi au wanaamini uchawi?? Mbona mfano wako ni irrelevant kabisa?? Kwataarifa yako asilimia 99 Kama sio 100 ya matajiri wote ni washirikina acha uvivu wa kufikiri
Ngoja nikuulize,
wewe ni tajiri?
Pia unajuaje kuwa hawa matajiri ni washirikina?
Subiri upate pesa au cheo ndipo utashangaa ukiitwa mchawi, wakati hata mlango wa mganga huujui hapa akili itakukaa sawa na kukumbuka haya maneno yangu.
 
Huyo kijana apelekwe jela chap akapakuliwe maisha yake yote khanithi mkubwa.
Kama ana penda maisha mazuri bila kufanya kazi si angetafuta basha amle tu kuliko kuua.
 
Uchawi ni nini?

Ambokile ni jina la kinyakyusa nishawahi soma na Ambombile alikua mtata na alipenda kuita uchawi kila kitu ambacho hakielewi
Mtoto mdogo wewe haujaijua vizuri hii dunia.

Ukilala unaamka unajamba tena na kurudi kulala.

Bado sana wewe!
 
Kwahiyo wewe ndio pekee mwenye akili ya kujua hawa wadudu ni minyoo!?
Siamini katika group kubwa la watu kukubali kitu ni ishara ya hicho kitu kuwa cha kweli, watu wanaweza kuwa wengi wakatafsiri hmjambo fulani kwa namna potofu na mmoja tu ambaye anapingana nao akawa sahihi

Hilo ni swali ambalo ni kama challenge mlitakiwa kuwaza nje ya box kabla ya kupandikiza fikra potofu
 
Mtoto mdogo wewe haujaijua vizuri hii dunia.

Ukilala unaamka unajamba tena na kurudi kulala.

Bado sana wewe!
Hujajibu swali

Unaweza kua mkubwa afu ukawa kubwa jinga tu, kika jambo ambalo hulielewi linafanyikaje kwako ni uchawi

Kuna mwenzako alikua anakemea usiku akidhani wachawi baada ya kuona kitanda kinatingishika akajua ni wachawi kumbe ni tetemeko linapita
 
Mkuu unajitesa tu kubishana na hawa maskini wa akili, fikra na vipato! Na ushahidi wa hiki nilichokuambia, ni namna wanavyo kimbilia kutoa maneno ya kejeli na matusi kwa wenye mtazamo tofauti na wao.
 
Dawa ya mchawi ni kumtia shoka la kichwa tu.

Wakiwa gizani wanaroga sana hawa na kuharibu hatima za watu.

Wana roho mbaya na chafu kama mashetani.

Kwahiyo dawa ni SHOKA tu.

Na mimi nasema KATA SHOKA.

Maneno ni mawili tu... K.A.T.A S.H.O.K.A.
Pole, inaelekea wamekutenda haswa.

KATA ......Mtama
 
Hujajibu swali

Unaweza kua mkubwa afu ukawa kubwa jinga tu, kika jambo ambalo hulielewi linafanyikaje kwako ni uchawi

Kuna mwenzako alikua anakemea usiku akidhani wachawi baada ya kuona kitanda kinatingishika akajua ni wachawi kumbe ni tetemeko linapita
Narudia tena, wewe ni mtoto mdogo sana haujaijua hii dunia bado!
 
Mkuu unajitesa tu kubishana na hawa maskini wa akili, fikra na vipato! Na ushahidi wa hiki nilichokuambia, ni namna wanavyo kimbilia kutoa maneno ya kejeli na matusi kwa wenye mtazamo tofauti na wao.
Kuandika kwa 'italics' ni ishara ya kwanza ya kutindia kwa ubongo.

Daktari akikuchunguza vizuri atakugundua una matatizo mengine sugu ya kisaikolojia kama vile kutojiamini.

Hizi 'italics' zako mimi hazinisumbui kwa sababu nimebaini wewe ni mtu dhaifu unayejificha kwenye maandishi ya mlazo na vijimatusi vya hapa na pale ili ujaribu kunitisha.

Halafu wewe ni mchawi pia maana unajitutumua kuaminisha watu hakuna uchawi ili uendelee kuwaroga kimya kimya.
 
Back
Top Bottom