Kijana amuua mama wa kambo akidai amemroga. Umasikini ni mbaya kuliko Corona

Kijana amuua mama wa kambo akidai amemroga. Umasikini ni mbaya kuliko Corona

Kwa kuwa humu hatujuani tulicho somea ngoja nitulie, ila ukiamini uchawi lazima uwe duni kimaendeleo hata ukiumwa malaria yale yanayo leta ukichaa utasema umelogwa, hapo ndo umuhimu wa elimu unajulikana. Wenzetu wanajikita kwenye programming (OOPS ) sizani kama utakuwa unajua maana hii tunaijua tulio somea civics tu , wewe jikite kutafuta uchawi tuone kama unaendelea.

Ngoja nikuambie kisa kimoja labda utaelewa, miaka ya tisini kuna kaka yangu alifaulu kwenda special school, nikiwa mdogo niliwasikia watu walisema haiwezekani mtu afaulu kama vile bila kuwa mchawi, ingawa nilikuwa mtoto ilinikatisha tamaa sana maana nilikulia katika mazingira ya dini hadi nikawa najisemea kuwa mimi Sitaweza kuwa msomi ikiwa uchawi unahusika, ila mpaka hapa nimefika na utu uzima wangu sijawahi feli katika mitihani yangu yote na sina hata chale mwilini. Na wale ambao nawakumbuka walikuwa wanamsema ndugu yangu hawana chochote, tukienda likizo ni kutuomba pesa utafikiri walitukopesha. Amini katika uchawi ufe masikini au uwe mtumwa wa tunguli.
Haya sawa.
 
Acha uvivu wewe! Fanya kazi kwa bidii ili ufanikiwe. Uchawi ni imani potofu! Kiufupi tu, HAKUNA UCHAWI!

Na ushahidi uko wazi, wanao amini uchawi karibia wote ni watu masikini na wasio na elimu! Asilimia chache zilizobaki, ndiyo huchukuliwa na wanasiasa wa ccm, na baadhi ya viongozi wa vilabu vya mpira wa miguu.
Wewe kweli ndondocha unasema hakuna uchawi?? Unapingana na maandiko matakatifu wewe?! Biblia inakiri uchawi harafu wewe mnywa gongo unasema hakuna uchawi kengemaji wewe
 
Umeandika mikojo mitupu sijui watu humu mnatumia nini kufikiri unataka kuniambia maskini wote ni wachawi au wanaamini uchawi?? Mbona mfano wako ni irrelevant kabisa?? Kwataarifa yako asilimia 99 Kama sio 100 ya matajiri wote ni washirikina acha uvivu wa kufikiri
 
Dawa ya mchawi ni kumtia shoka la kichwa tu.

Wakiwa gizani wanaroga sana hawa na kuharibu hatima za watu. Wana roho mbaya na chafu kama mashetani.

Kwahiyo dawa ni SHOKA tu.

Na mimi nasema KATA SHOKA.

Maneno ni mawili tu... K.A.T.A S.H.O.K.A.
Utajuaje fulani ni mchawi?

Wewe kata shoka then subiri na wewe serikali ikung'oe shingo.

Ukigundua mama yako mchawi utampiga shoka?
 
Hapa waganga wa kienyeji watakuwa wamehusika kumjaza huyo muuaji ujinga
 
Umasikini, Ujinga na kukosa elimu au elimu duni ndio inapelekea kutokea haya mambo yasiyo na utu.

Sijawahi sikia marekani kuna mtu amepigwa panga sababu mchawi.
Hayo yalikuwapo miaka 1000 nyuma enzi za Ujinga sio leo.
 
Wewe kata shoka then subiri na wewe serikali ikung'oe shingo.
Bila shaka wewe ni mchawi na unajitutumua kunitisha.

Nikueleze tu kuwa, sitishiki.

Na ukikaa vibaya nitakuvunja kiuno kwa namna ya ajabu mno.

Na kwa sababu sheria za nchi zinatambua uchawi, huko pia nitakushughulikia kikamilifu.

Salama yako ni kutupa matunguli na kujisalimisha kwa Yesu Kristo.
 
Bila shaka wewe ni mchawi na unajitutumua kunitisha.

Nikueleze tu kuwa, sitishiki.

Na ukikaa vibaya nitakuvunja kiuno kwa namna ya ajabu mno.

Na kwa sababu sheria za nchi zinatambua uchawi, huko pia nitakushughulikia kikamilifu.

Salama yako ni kutupa matunguli na kuokoka.
Embu acha kurukaruka kama tasi aliyetolewa baharini na ujibu yale maswali.

Unajuaje fulani ni mchawi?

Na ukigundua mama yako ni mchawi utampiga shoka?

Kitendo cha kushindwa kujibu hayo maswali kitathibitisha kwamba asilimia yote ya watu wanaoamini uchawi ni wajinga, wasiojitambua, masikini na wasio na elimu.

Jibu hayo maswali mepesi hapo juu au bila shaka nitakuwa nipo sahihi na unakubaliana na ukweli.
 
Hahah acha biti maandazi wewe poyoyo, kama unavyoona uchuro kwenye dini na imani za watu wengine, basi bila shaka na upande huu hatuna budi kusema hata huko kwako ni uchuro uchuro tu, mlokole anatisha watu kuwavunja viuno..hahaha what a shame,..heshimu dini na imani za wengine, kama mpaka wako kwa demu wako ni kuishia kwenye kushika bega, wapo wenzio wanaomnyoa mavuzi, heshimu mpaka uliowekewa, kama huko kwingine unakuona uchuro basi na huko kwako ni uchuro, na usilazimishe kibabe watu kujisalimisha huko kwenye uchuro wenu.
Wachawi na vigagula mmeanza kutoka mashimoni mmoja mmoja.

Wewe endelea kuabudu mapepo, lakini ukija kwenye uwanja wangu nitakuvunja kiuno in a very brutal fashion.
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Hahahah ach kudanganya wanaume
Kucheka cheka kunaashiria mtu aliyeingiwa na woga.

Ndio maana unajitahidi kujichekesha hapa na pale ili ujifariji kwamba hauna hofu.

Hapo nimekupiga tu biti uchwara, lakini umeanza kujikojolea na kujinyea simultaneously.

Nikiingia kazini hata hivyo vijimizimu vyako bandia vitasalimu amri na kutokomea.
 
Mkundu wako wewe ..kama unadhani nina hofu na wewe, kumalamamayo!
Ona chawi hili limeshapagawa.

Pandisha mizimu yako uchwara hiyo nikushughulikie vizuri.

Mtu ambaye hana hofu huwa hasemi "sina hofu".

Wewe ni kigagula mwoga. Usibishe wakati naona unajinyea!
 
Acha uvivu wewe! Fanya kazi kwa bidii ili ufanikiwe. Uchawi ni imani potofu! Kiufupi tu, HAKUNA UCHAWI!

Na ushahidi uko wazi, wanao amini uchawi karibia wote ni watu masikini na wasio na elimu! Asilimia chache zilizobaki, ndiyo huchukuliwa na wanasiasa wa ccm, na baadhi ya viongozi wa vilabu vya mpira wa miguu.
Hujaona dunia bado acha wewe.
 
Huyo kijana sio mwendawazimu. Kuna jambo nyuma ya pazia.

Haiwezekani tu amrukie na kumtia mapanga ya kichwa.

Hawa wachawi huwa wanajifanya wakarimu sana na unaweza kushawishika kuwaonea huruma, lakini wakiwa gizani wanakushughulikia haswa mpaka wanakumaliza.

Hata biblia inasema USIMUACHE MWANAMKE MCHAWI AISHI.

KATA SHOKA LA KICHWA.

Ukikamatwa na serikali waambie nimeua kwa madhumuni ya KUJILINDA na KUJIHAMI.
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Wewe kweli ndondocha unasema hakuna uchawi?? Unapingana na maandiko matakatifu wewe?! Biblia inakiri uchawi harafu wewe mnywa gongo unasema hakuna uchawi kengemaji wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa ya mchawi ni kumtia shoka la kichwa tu.

Wakiwa gizani wanaroga sana hawa na kuharibu hatima za watu.

Wana roho mbaya na chafu kama mashetani.

Kwahiyo dawa ni SHOKA tu.

Na mimi nasema KATA SHOKA.

Maneno ni mawili tu... K.A.T.A S.H.O.K.A.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom