Kijana amuua mama wa kambo akidai amemroga. Umasikini ni mbaya kuliko Corona

Swadakta!
 
una fikra finyu sana endelea kujifunza ipo siku utaelewa tu

baba angu alikua kama wewe haamini hayo mambo ila kilchokuja kumkuta kutoa madudu tumboni ndio imani ikabadilika

usiombe yakukute
 
Uchawi ni nini?

Ambokile ni jina la kinyakyusa nishawahi soma na Ambombile alikua mtata na alipenda kuita uchawi kila kitu ambacho hakielewi
 
una fikra finyu sana endelea kujifunza ipo siku utaelewa tu

baba angu alikua kama wewe haamini hayo mambo ila kilchokuja kumkuta kutoa madudu tumboni ndio imani ikabadilika

usiombe yakukute
Kutoa madudu tumboni ndo uchawi?

Hata minyoo nayo utasema ni uchawi kwasababu ni wadudu wanaokaa tumboni?
 
Ngoja nikuulize,
wewe ni tajiri?
Pia unajuaje kuwa hawa matajiri ni washirikina?
Subiri upate pesa au cheo ndipo utashangaa ukiitwa mchawi, wakati hata mlango wa mganga huujui hapa akili itakukaa sawa na kukumbuka haya maneno yangu.
 
Huyo kijana apelekwe jela chap akapakuliwe maisha yake yote khanithi mkubwa.
Kama ana penda maisha mazuri bila kufanya kazi si angetafuta basha amle tu kuliko kuua.
 
Uchawi ni nini?

Ambokile ni jina la kinyakyusa nishawahi soma na Ambombile alikua mtata na alipenda kuita uchawi kila kitu ambacho hakielewi
Mtoto mdogo wewe haujaijua vizuri hii dunia.

Ukilala unaamka unajamba tena na kurudi kulala.

Bado sana wewe!
 
Kwahiyo wewe ndio pekee mwenye akili ya kujua hawa wadudu ni minyoo!?
Siamini katika group kubwa la watu kukubali kitu ni ishara ya hicho kitu kuwa cha kweli, watu wanaweza kuwa wengi wakatafsiri hmjambo fulani kwa namna potofu na mmoja tu ambaye anapingana nao akawa sahihi

Hilo ni swali ambalo ni kama challenge mlitakiwa kuwaza nje ya box kabla ya kupandikiza fikra potofu
 
Mtoto mdogo wewe haujaijua vizuri hii dunia.

Ukilala unaamka unajamba tena na kurudi kulala.

Bado sana wewe!
Hujajibu swali

Unaweza kua mkubwa afu ukawa kubwa jinga tu, kika jambo ambalo hulielewi linafanyikaje kwako ni uchawi

Kuna mwenzako alikua anakemea usiku akidhani wachawi baada ya kuona kitanda kinatingishika akajua ni wachawi kumbe ni tetemeko linapita
 
Mkuu unajitesa tu kubishana na hawa maskini wa akili, fikra na vipato! Na ushahidi wa hiki nilichokuambia, ni namna wanavyo kimbilia kutoa maneno ya kejeli na matusi kwa wenye mtazamo tofauti na wao.
 
Dawa ya mchawi ni kumtia shoka la kichwa tu.

Wakiwa gizani wanaroga sana hawa na kuharibu hatima za watu.

Wana roho mbaya na chafu kama mashetani.

Kwahiyo dawa ni SHOKA tu.

Na mimi nasema KATA SHOKA.

Maneno ni mawili tu... K.A.T.A S.H.O.K.A.
Pole, inaelekea wamekutenda haswa.

KATA ......Mtama
 
Narudia tena, wewe ni mtoto mdogo sana haujaijua hii dunia bado!
 
Mkuu unajitesa tu kubishana na hawa maskini wa akili, fikra na vipato! Na ushahidi wa hiki nilichokuambia, ni namna wanavyo kimbilia kutoa maneno ya kejeli na matusi kwa wenye mtazamo tofauti na wao.
Kuandika kwa 'italics' ni ishara ya kwanza ya kutindia kwa ubongo.

Daktari akikuchunguza vizuri atakugundua una matatizo mengine sugu ya kisaikolojia kama vile kutojiamini.

Hizi 'italics' zako mimi hazinisumbui kwa sababu nimebaini wewe ni mtu dhaifu unayejificha kwenye maandishi ya mlazo na vijimatusi vya hapa na pale ili ujaribu kunitisha.

Halafu wewe ni mchawi pia maana unajitutumua kuaminisha watu hakuna uchawi ili uendelee kuwaroga kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…