Kijana amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, atokomea nacho

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Kijana mkenya Walter kipkoech umri wamiaka 23, amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, kisha kukimbia nacho.

Jeshi la polisi lafanikiwa kumkamata, ambapo inasemekana chanzo ni kutoka kua mwaminifu Binti huyo wa miaka kumi nana 18 mwanafunzi wa kidato cha nne.

Baada ya kutekeleza shambulio hilo dogo aliandika ukutani kwa damu, I LOVE YOU BUT SORRY
 

Attachments

  • Screenshot_20261006-201928.jpg
    54.4 KB · Views: 19
Wanawake wanataka kutupanda vichwani, wasipojirudi wataisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…