Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Vijana wa nia nzuri wana lalamika kwa idadi ya masingle maza na ambao washamiliki usajili wa timu tofauti.
Kwa wimbi ambalo napata malalamiko ni wale wenye nia ya kuoa ila kinacho waumiza wanawake wazuri walishakuwa toleo la iphone lilopita japo umri wao ni sahihi.
Wafanye nini ?.Mimi nimeshindwa kumshauri