Kijana analala kwenye jeneza zaidi ya miaka 15

Al hamdu lillah najivunia kuwa Muislam, Uislamu ni raha sana, Uislamu ni amani, Allah anijaalie mwisho mwema!
 
Kitu cha kawaida sana hiki, sijaona jipya hapo.. šŸ¤šŸ¤
 
Kila mmoja apambane kivyake kwa namna yoyote ile atakayo ona inafaa yeye kuwa na kipato......as long as tu havunji sheria za nchi wala kuumiza raia wengine. Acheni jamaa aendelee kula pesa zake anazozitaabikia yeye mwenyew.
Sawasawa
 
Sema tuache utani .......katika research yangu mjini hakuna mwenye vipesa vya kuoneka bila kupiitia kwa ndagu
 
SHule mnafungua lini?
 
Ni suala tu la kubadilisha matumizi, lakini hakuna shida yoyote. Hata makanisa yanatumiwa kama baa na kasino, then Jumaoili watu watumia kuabudia.
 
Hakuna cha ajabu hapo, ni maamuzi tu.
 
Pengine ilikuwa ndiyo yake siku Moja akiwa nazo kitanda chake kiwe jeneza.

Mimi sijaona ubaya wowote.
 
Ni suala tu la kubadilisha matumizi, lakini hakuna shida yoyote. Hata makanisa yanatumiwa kama baa na kasino, then Jumaoili watu watumia kuabudia.
Sijui kwa nini watu wanastuka. Ni jambo la kawaida sana.
 
Define ajabu. Ajabu ni nini. Ili kitu kiwe cha ajabu inabidi kiwe na sifa gani?
 
Acha maswali toa maoni yako ndo nachotakašŸ˜€
Nitatoa vipi maoni kuhusu maajabu kama mimi na wewe hatujakubaliana ajabu ni nini?

Huoni kwamba hapo tunaweza kubishana sana wakati wote wawili tunataja neno hilo hilo moja "ajabu" lakini tunamaanisha vitu tofauti?

Ajabu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…