Kijana analala kwenye jeneza zaidi ya miaka 15

Kijana analala kwenye jeneza zaidi ya miaka 15

Ni choice yake na ndio mtindo wa maisha alioamini kuishi nao.
Sijajua Sheria zinasemaje kuhusu namna nzuri ya mtu kulala...na kama ni mbaya nini athali zake katika jamii hasa inapotokea mwenye kuzifanza kutangaza kwa jamii.
 
Back
Top Bottom