Mbona anaonekana mstaarabu kabisa?Aliyechomwa ndo huyu hapo chini
Kweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.Ndiyo dawa japo inaumiza sana
Auze biashara mtandaoni!!sio mchezo.. kijana smart kwa kumwangalia kumbe hana akili kichwani ameshindwa hata kufanya biashara hata za kuuza bidhaa mbalimbali mtandaoni?
Waliiba gari kama gari au walichomoa vifaa kama Radio, Taa, Power Window nkKweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.
Poleni. Wakachukua chote?Kweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.