Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Mara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.

Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.

Picha na video zinatisha sana

View attachment 2388782

View attachment 2388786
Inasikitisha sana. Raia wamechoka kuibiwa.
 
wanunuzi wa vifaa vya wizi wapo maeneo mengi sana katika Jiji la DSM.

wezi majambazi sio watu wa kuwachekea, tunaishi nao kwenye mazingira yetu....mitaani kwetu, tuwafichue, au wao wenyewe wakajisalimishe Polisi kwa usalama wao vinginevyo wananchi wenye hasira kali walio choshwa na vitendo vyao watawamaliza.
 
Kuna kijana alikuwa mpole smart sana!!Msafi, hakosi ibadani, kumbe huko kwenye swala anaficha madhambi,
Aisee CV yake iliwekwa hadharani baada ya kukamatwa!!
Kumbe jambazi sugu bwana!! Msiangalie sura za upole hizi!
kama wewe
 
Back
Top Bottom