Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Mmh, nisile mishkaki kwa ajiri hio, ninavopenda nyama.Kweli,yataka moyo kuiangalia laasivyo unaweza usile mishikaki kwa muda mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh, nisile mishkaki kwa ajiri hio, ninavopenda nyama.Kweli,yataka moyo kuiangalia laasivyo unaweza usile mishikaki kwa muda mrefu.
Unaasili ya Kongo?Mmh, nisile mishkaki kwa ajiri hio, ninavopenda nyama.
Hapana,TutsiUnaasili ya Kongo?
Mimi Amata zaidi, turi kumwe.Hapana,Tutsi
Wanaochoma na wanaorekodiKina nani sasa, wezi au wananchi
video inatisha jamani, anayetaka kuona anyooshe kidole
no moto kavukavu tuHiyo spoku ilipashwa moto au haikupashwa moto?
Mcheki huyu anayo abdulqadirj
Kumchoma moto kumemfanya ajifunze niniNi mwizi na alikuwa akifahamika. na alishaonywa sana.
Nitumie na Mimi iyo video imhotepAisee!! na Wananchi wanazidi kuuchochea moto uwake vizuri.
Hii video iko kitambo sana youtube ilikua ni vibaka waliosumbua sana kiwalani ndo wakavishwa matair wakatiwa kiberiti halafu angalia sura ya anayechomwa na picha hawafanani kabisa,hii video ina miaka 12 youtube
wangapi tunawafikisha polisi wanatoka na kuendelea kama kawa....tunatumia SHARIA tuu....polisi wanawafahamu vema.......sio sawa kumuadhibu.....sheria ndio inapaswa kumuadhibu......ila KAMA UMESHAIBIWA..... achana na simu sijui....wamekuvamia ukawekwa TANCHI.........kisasi must mkuu.......usiombee yakukute.....wapigwe wavunjwe vunjwe.....wasiuwawe...wateseke na familia zao.....Kwann ufanye hivyo, huyo akawekwe ndani. Apige kazi nzito miaka mitatu akitoka huko atakuwa na adabu.
Sauti imewekwa tu mkuu. Jaribu kutumia teknolojia utaelewa nachokuelezeniSiku hizi na wao wanaongea Kiswahili cha Pwani?
Hebu niwekee ile orijino clip ili niweze kuzielewa hoja zako.Sauti imewekwa tu mkuu. Jaribu kutumia teknolojia utaelewa nachokuelezeni
Wameondoka nalo, sasa unategemea mtu kama huyu, ataunga mkono wazo la wezi wapelekwe polisi.Yaani wameondoka na gari kabisa?? Duh