OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Safi sana wachomaji. Ila mngemchoma nusu ili aishi na maumivu kabla ya kuvuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah umenikumbusha juzi nilinunua flash ya wizi kwa muhuni kwa bei chee. Ikabidi nimpakie kwenye gari tukazunguka mitaa huku nampa hela. Baadae nikamshusha palepale. Flash GB 32 kwa buku 5Kama hivyo bhasi nimehairisha nilikuwa nina mpango nimnunulie dogo bodaboda used apige nayo job nimegopa tusije kuuziwa bodaboda ya wizi yakaja kutukuta...ya nini mie
Mkuu mbona umebadilisha avatar picha Yako ya Thiago wa Liver tuliyokuzoea?Mkuu imagine mtu kama huyo aliyeibiwa engine ndio akute mwizi anapigwa sehemu unadhani atafanyaje,kuibiwa kunauma aisee
Soon inarudi mkuu 😀👊Mkuu mbona umebadilisha avatar picha Yako ya Thiago wa Liver tuliyokuzoea?
Aminia mkuuSoon inarudi mkuu 😀👊
Pamoja broAminia mkuu
Me mwenyewe ninazo mkuu...Zinapatikana wapi mkuu?
hahahaaaaaWengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5 mills.
Anaweza kuifata gari hadi Tunduma huku anaiwinda kila Dereva anapochoka na kulala mpaka atakapofanikiwa au aambulie holaa!
Dereva akiwa mlevi mlevi na mpenda nyapu hapo ndipo anawekewa Diazepam.
Mimi huwa nikiona kuna watu siwaelewielewi huwa naenda kulala porini kabisa.
Wezi wana roho ngumu sana.Angalao tungejiridhisha kuwa one down one million to go[emoji3][emoji16]
nitumie video boss pmWezi wana roho ngumu sana.
Mara ya kwanza kuingizwa Dar baada ya kuingia mwenyewe miaka 4 iliyopita, nilichanganyikiwa nikawa depressed, kila mara nikawa naliwaza hilo tukio, niliumia sana.
Nawaza tu, hivi yule kabla ya kutiwa kiberiti hakuulizwa matukio aliyoyafanya na mali anazopelekaga.Achomwe tu; kwa sababu wanapokuwa wanaiba wanakuwa wamejihami kwa lolote
Hiyo spoku ilipashwa moto au haikupashwa moto?Kizuiani kibaka aliiingizwa spoku ya baskel kwa penis
Hujawahi kuonja maumivu ya kuibiwa weweWatanzania tujalibu kuwa na misahama isiyokuw na ukomo. Ebu fikiria thamani ya vifaa inalingana na thamani ya UHAI wa mtu, na kingine ukiona kazidi sana busi mkamate then umuajili nahc inawez ikaw suluhixho[emoji848]
Ni me ku pm mkuuuSikuona hii quote mapema mkuu, kama bado hujatumiwa ni PM