Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kama hivyo bhasi nimehairisha nilikuwa nina mpango nimnunulie dogo bodaboda used apige nayo job nimegopa tusije kuuziwa bodaboda ya wizi yakaja kutukuta...ya nini mie
Daah umenikumbusha juzi nilinunua flash ya wizi kwa muhuni kwa bei chee. Ikabidi nimpakie kwenye gari tukazunguka mitaa huku nampa hela. Baadae nikamshusha palepale. Flash GB 32 kwa buku 5
 
Wengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5 mills.

Anaweza kuifata gari hadi Tunduma huku anaiwinda kila Dereva anapochoka na kulala mpaka atakapofanikiwa au aambulie holaa!

Dereva akiwa mlevi mlevi na mpenda nyapu hapo ndipo anawekewa Diazepam.

Mimi huwa nikiona kuna watu siwaelewielewi huwa naenda kulala porini kabisa.
hahahaaaaa
 
Angalao tungejiridhisha kuwa one down one million to go[emoji3][emoji16]
Wezi wana roho ngumu sana.

Mara ya kwanza kuingizwa Dar baada ya kuingia mwenyewe miaka 4 iliyopita kwa wakati huo, nilichanganyikiwa nikawa depressed, kila mara nikawa naliwaza hilo tukio, niliumia sana.
 
Wezi wana roho ngumu sana.

Mara ya kwanza kuingizwa Dar baada ya kuingia mwenyewe miaka 4 iliyopita, nilichanganyikiwa nikawa depressed, kila mara nikawa naliwaza hilo tukio, niliumia sana.
nitumie video boss pm
 
Watanzania tujalibu kuwa na misahama isiyokuw na ukomo. Ebu fikiria thamani ya vifaa inalingana na thamani ya UHAI wa mtu, na kingine ukiona kazidi sana busi mkamate then umuajili nahc inawez ikaw suluhixho[emoji848]
Hujawahi kuonja maumivu ya kuibiwa wewe
 
Maeneo Gani hayo Mzee baba, jamaa anaonekana smart kumbe mwizi
 
Back
Top Bottom