Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Sidhani jamaa anakaa kama mwizi. Huenda alifumaniwa akimchapia mtu mke.
Mkuu wezi wa mnadani na gerezani wanaodili na wizi wa vitu vya kwenye magari uwa wako smart sana na wengine wanamiliki usafiri na nyumba za maana,wakiipenda gari yako hata kama waliiona k'koo basi wataifutilia inapolala hata kama unaishi kibaha watapajua tu then siku yake wakijiridhisha ukiamka asubuhi unakuta wamekuachia scraper
 
Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.

Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.

Picha na video zinatisha sana

View attachment 2388782

View attachment 2388786
Na yeye pia alikuwa mfuasi wa yesu?
 
Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.

Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.

Picha na video zinatisha sana

View attachment 2388782

View attachment 2388786
Wezi wa siku hizi wapo smart Sana aisee, nakumbuka kuna dogo aliuwawa kwa kuchomwa moto na alikua smart ,ulikua ukimuona huwezi kumdhania aisee , kumbe dogo alikua mwizi Wa piki piki

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanatoka usiku hao machalii wanakaa sana sinza wengi mabishoo ila ndo wale wavunja nondo na kupulizia watu madawa kuwaibia usiku...Wana maduka special mkoani wanasuppply vitu vya uwizi mfano gari wanaweza kuiba hapa ikapelekwa Kilimanjaro huko
 
Halafu mwinzi hana hasara anauza kwa milioni moja au mbili tu.
Wengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5 mills.

Anaweza kuifata gari hadi Tunduma huku anaiwinda kila Dereva anapochoka na kulala mpaka atakapofanikiwa au aambulie holaa!

Dereva akiwa mlevi mlevi na mpenda nyapu hapo ndipo anawekewa Diazepam.

Mimi huwa nikiona kuna watu siwaelewielewi huwa naenda kulala porini kabisa.
 
Back
Top Bottom