imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Aisee!! na Wananchi wanazidi kuuchochea moto uwake vizuri.Check inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!! na Wananchi wanazidi kuuchochea moto uwake vizuri.Check inbox
Mkuu na mimi naomba nirushieNimekupm, ukishaiona hutajaribu kuiweka hapa.
imhotep Mr Q Me I and my self fanyeni kumtumia huyu maana bando langu limeishaMkuu na mimi naomba nirushie
Sorry, Diazepam ndo nn?Wengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5
Dereva akiwa mlevi mlevi na mpenda nyapu hapo ndipo anawekewa Diazepam.
Asa ukienda kulala porin si ndo wataiba kila ktu mana wanajua porin hakuna wa kukusaidiaMimi huwa nikiona kuna watu siwaelewielewi huwa naenda kulala porini kabisa.
Hautakiwi kununua vifaa vya wizi mkuu...Swali alikamatwa kwenye mazingira gani?
A.Je alikamatwa red handed?
B. Au vilikamatwa vifaa vikiwa kwake?
Kama jibu ni A sawa ila kama jibu ni B huenda na yeye ameuziwa ni bora angeulizwa aliuziwa na na ni, but its late already.
Hawa sio wezi wa mabavu ni wanyakuzi atakuja na kujifanya ni fundi au ni Trucker mwenzako ukimuamini tu kosaAsa ukienda kulala porin si ndo wataiba kila ktu mana wanajua porin hakuna wa kukusaidia
Inaumiza sana, lakini huo ukatili we unaonaje, huu waliofanya ni ushetani ambao hata shetani mwenyewe hajaufikia bado, yaani devil anaomba poo mwenyeweKweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.
Porini teena miye nilijua polisi mkuu.Wengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5 mills.
Anaweza kuifata gari hadi Tunduma huku anaiwinda kila Dereva anapochoka na kulala mpaka atakapofanikiwa au aambulie holaa!
Dereva akiwa mlevi mlevi na mpenda nyapu hapo ndipo anawekewa Diazepam.
Mimi huwa nikiona kuna watu siwaelewielewi huwa naenda kulala porini kabisa.
video muhimu.Hiyo picha haikutoshi?
Mkuu Porini ndio kuna usalama kama unataka kujilinda na Wanyakuzi wa Spea na Mafuta.Porini teena miye nilijua polisi mkuu.
Unakita hata baiskeli hana....98% ya watanzania ni maskini jeuri sijui kwannIngekuwa V8 ungeiita ki v8?
Namuona huyo Mama anazidi kuuchochea moto au ndio Mage mwenyewe?Dogo kala mke wa mtu anaitwa Mage week nne zimepita now am connecting The dots