Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Wacha wenye ujasiri wawachome tu ili kutuwakilisha sisi wengine ambao hatukubahatika kuwa na ujasiri huo. Binafsi siwezi kufanya hivyo.Wizi ni kitu kibaya sana; achomwe tu hakuna namna. Kama mtu hujawahi kuibiwa unaweza kumuonea huruma lakini kwa wale tuliowahi kuibiwa tunafahamu fika uchungu wa kuibiwa unavyouma. Achomwe tu ili liwe fundisho kwa wezi wengine kama yeye.