Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Wengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5 mills.

Anaweza kuifata gari hadi Tunduma huku anaiwinda kila Dereva anapochoka na kulala mpaka atakapofanikiwa au aambulie holaa!

Dereva akiwa mlevi mlevi na mpenda nyapu hapo ndipo anawekewa Diazepam.

Mimi huwa nikiona kuna watu siwaelewielewi huwa naenda kulala porini kabisa.
Na haya mambo huwa wanayafanya sana?
Dah aosee
 
Wengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5 mills.

Anaweza kuifata gari hadi Tunduma huku anaiwinda kila Dereva anapochoka na kulala mpaka atakapofanikiwa au aambulie holaa!

Dereva akiwa mlevi mlevi na mpenda nyapu hapo ndipo anawekewa Diazepam.

Mimi huwa nikiona kuna watu siwaelewielewi huwa naenda kulala porini kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], huko hawawezi kuja.
 
Back
Top Bottom