Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila sir God huo ukatili anao? Maana saivi yupo anachochea kuni kwaajili ya waongo...imagine unamdanganya mtu umekaribia kufika kumbe bado hujapanda gari, halafu kule juu sir God anakuandalia makuni ya kukuchoma MILELEInaumiza sana, lakini huo ukatili we unaonaje, huu waliofanya ni ushetani ambao hata shetani mwenyewe hajaufikia bado, yaani devil anaomba poo mwenyewe
Sidhani jamaa anakaa kama mwizi. Huenda alifumaniwa akimchapia mtu mke.
We unaamini hizo story za moto wa milele? Kuwa seriousila sir God huo ukatili anao? Maana saivi yupo anachochea kuni kwaajili ya waongo...imagine unamdanganya mtu umekaribia kufika kumbe bado hujapanda gari, halafu kule juu sir God anakuandalia makuni ya kukuchoma MILELE
Wewe mbona unaamini story za shetani?We unaamini hizo story za moto wa milele? Kuwa serious
Nimecheka kw sauti, yaani kwenye pori unakatiza km unaenda kuchimba dawa mtu akijileta unamuuliza unanifuata fuata kwanini lakni?.Mkuu Porini ndio kuna usalama kama unataka kujilinda na Wanyakuzi wa Spea na Mafuta.
Trust me ndio zangu hizo, wewe ukitaka kuibiwa hadi geaboksi paki Polisi.
DahWewe mbona unaamini story za shetani?
Porini teena miye nilijua polisi mkuu.
Wizi ni mbaya hilo halina ubishi,
Je hao raia wenye hasira kali toka walivyoanza kutoa hizo hukumu za kumchoma moto mtuhumiwa akiwa hai,wizi umepungua au umeongezeka?
aliyefumaniwa kumbe si mwizi ?Sidhani jamaa anakaa kama mwizi. Huenda alifumaniwa akimchapia mtu mke.
Mkuu Porini ndio kuna usalama kama unataka kujilinda na Wanyakuzi wa Spea na Mafuta.
Trust me ndio zangu hizo, wewe ukitaka kuibiwa hadi geaboksi paki Polisi.
Ana sura ya taifaSijui nimemuona wapi aura sio ngeni kabisa
Na wanamuiba kabisa hadi ye mwenyewe [emoji16]Sorry, Diazepam ndo nn?
Asa ukienda kulala porin si ndo wataiba kila ktu mana wanajua porin hakuna wa kukusaidia
Kuna siku nilipaki pale polisi nikaend kula, narudi wanasema huyu ndiyo mwenye hiyo gari. Nikasimama tuli nikawauliza kuna nini kwani mbona mnaisema gari miye mwenyewe nipo hapa niulizeni niwajinu. Wakaufyata nikatimia zanhu.Polisi wa sku hizi ni wasenge sana,,unaeza enda polisi wakakukamata wakakuweka ndani sa unajiuliza kosa lako nini???[emoji849]
Alikuwa anavuna huku akiungua.Mtu anavuna alichopanda ili akitumie, sasa huyu amevuna alichopanda atakitumia wapi?
usije ukadanganyika na sura za watu mjini utalizwa mchana kweupeeee.Mbona anaonekana mstaarabu kabisa?
Je alikamatwa akiiba, alikamatwa na vifaa?
KalyndaAuze biashara mtandaoni!!