Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Watanzania tujalibu kuwa na misahama isiyokuw na ukomo. Ebu fikiria thamani ya vifaa inalingana na thamani ya UHAI wa mtu, na kingine ukiona kazidi sana busi mkamate then umuajili nahc inawez ikaw suluhixho🤔
Yani wewe nashindwa nikiweke kundi gani , nahisi bado unalelewa hivyo hata ugumu wa utafutaji huujui, kwa hiyo na wao wakikuongilia na mapanga watakuajili wapi?
 
Mshipa upi mkuu?ukiukata athari yake inakuwaje?
 
Watanzania tujalibu kuwa na misahama isiyokuw na ukomo. Ebu fikiria thamani ya vifaa inalingana na thamani ya UHAI wa mtu, na kingine ukiona kazidi sana busi mkamate then umuajili nahc inawez ikaw suluhixho[emoji848]
Yaani uajiri kibaka , wewe nahisi unaleta masihara aisee .
Mwizi hakawii kukuibia hata wewe boss wake, asipokuibia yeye atakitengezea mchongo hata wenzake wakuibie
 
Tena wale wa wash/pesa bandia ndo wanpataga tabu Sana kw mikono y wananchi
 
Waliondoka na gari, kama gari, hawana huruma hawa.
Nowadays kwenye gari funga secret kill switch mathalani ambayo ni wireless.

Kuna aina fulani ya kill switch the moment unazima gari inalock engine isiweze kuwaka. Mpaka utakapokuja kuruhusu mwenyewe na remote yako ndio inawaka. [Hapa kunakuwa hakuna excuse ya mtu kusema nilisahau kuweka ON kill switch.]

As long as mwizi amekuja kuiba gari na ikamgomea kuwaka, hakuna mwizi atakaa aanze kuhangaika kulirekebisha ili liwake, hayupo.
 
Niliona video yake akiungua aisee ni majuto kwa mkewe maana marehemu mwizi ana miliki pisi moja ya hatari imenyooka na mtoto mmoja mdogo.

Wezi wa siku hizi ni vijana smart kabisa ila ni tamaa tu za maisha mazuri pasipo kufanya kazi.
Uzuri makatibu tupo wengi. Imeisha hio!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…