Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
- Thread starter
- #241
Reflex actions haziwezi kuruhusu mtu ajiue kwa staili hiyo ndio maana mtu hawezi kujiua kwa kuziba pua.Jamaa bora ajing'ate ulimi tu asleep well ila sio kwa kuhangaika atake kuinuka maana kuna watu wanazidi kumsogezea matambaa na maviatu azidi kuwaka