much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Mabishoo wengi ni weziSidhani jamaa anakaa kama mwizi. Huenda alifumaniwa akimchapia mtu mke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabishoo wengi ni weziSidhani jamaa anakaa kama mwizi. Huenda alifumaniwa akimchapia mtu mke.
Anauziwa ambae spea yake imeibiwa,umeelewa mpaka hapo? wanaoumia ni wale wenye vyombo vya usafirishaji.Wanunuzi hasa ni kina nani.?
Maana kama ni vifaa vya hayo magari nafikiri wamiliki wengi wanauwezo
Iringa walimkamata mmoja wakamuuliza, tukipige msumari kichwani au tukunywesha uji? Jamaa akachangua uji. Wakamkorogea Cement na wakamwambia anywe kisha aondoke. Jamaa baada ya masaa 2 tumbo limejaa, kuongea hawezi hadi akafa.Kizuiani kibaka aliiingizwa spoku ya baskel kwa penis
Kila polisi ana mkubwa wake,Polisi njia pekee ya kumkomesha ni kumshtakia kwa Mkuu aliemzidi cheo (unaongezea na chumvi)Polisi wa hii nchi sio waaminifu kabisa yaani,najua kuna wakuu humu ni polisi ila niwaambie tu ACHENI TAMAA ..
Naomba namba ya mke wa marehemu nimpe pole.Niliona video yake akiungua aisee ni majuto kwa mkewe maana marehemu mwizi ana miliki pisi moja ya hatari imenyooka na mtoto mmoja mdogo.
Wezi wa siku hizi ni vijana smart kabisa ila ni tamaa tu za maisha mazuri pasipo kufanya kazi.
Umesema Pisi kali hatari imenyooka? nipe namba yake nitume Rambirambi.pisi moja ya hatari imenyooka
Apone aringe, walifata kumkorogea cement[emoji54][emoji54]alipona kweli?
Noma sana yaani we kama huna kazi bora tu utie huruma kwa ndugu ila sio kujifanya vitu vya watu wewe ndo unajua matumizi navyo...Iringa walimkamata mmoja wakamuuliza, tukipige msumari kichwani au tukunywesha uji? Jamaa akachangua uji. Wakamkorogea Cement na wakamwambia anywe kisha aondoke. Jamaa baada ya masaa 2 tumbo limejaa, kuongea hawezi hadi akafa.
Nitumie PM mkuuMwizi akija kwangu na panga lake, anakutana na revolver anakuwa mpole, unawaita masela wanaenda kupumzika nae.
View attachment 2389164
Safi sana namna hiyo.Katika hali hiyo ni bora aje mtu akupige risasi ya kichwa ili hayo maumivu usiyasikie.
Hivyo hapana lengo litachelewa kutimia inatakiwa iwe chapu.Kabla ya kumchoma moto ilibidi naye wamtoe kiungo kimoja kimoja kama anavyochomoa vifaa kwenye magari...
Najua maumivu uliyopitia baada ya kuibiwa kwakweli awa dawa yao ndio hii.Hii adhabu wanastahili watu wenye roho za ulafi kama hawa wezi, yaani anaungua huku akiona live na kuhisi maumivu taratibu.
Kusafishiwa geto/mali halafu ukaachwa mtupu bila senti 5, inauma zaidi ya maumivu anayoyapata huyu anayechomwa moto.
Niliwahi kuibiwa, iliniuma sana hadi nikaanza kuwaza ambayo hata haviwaziki.
Sana.Hii video tungepata yote hadi tairi lilipomalizika kuungua.
Wezi ni watu wabaya sana
Ni ukatili hata kma ni mwizi ila kuua ni ishu nyingineTairi lilikuwa zito kiasi kwamba jamaa amebaki anajiangalia akiungua lakini hawezi kuinuka.
Na pia kipigo kimemnyong'onyeza na amepoteza damu nyingi kwa hiyo hapo kizunguzungu utasema kalewa.Tairi lilikuwa zito kiasi kwamba jamaa amebaki anajiangalia akiungua lakini hawezi kuinuka.