Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.

Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.

Picha na video zinatisha sana

View attachment 2388782

View attachment 2388786
Sawa kabisa,hao mbwa wanarudisha nyuma maendeleo ya watu halafu wanajifanyaga don town kumbe wezi tu
 
Hautakiwi kununua vifaa vya wizi mkuu...
I think siyo fair kuhukumu katika baadhi ya mazingira.

Nowadays tunafunga GPS trackers mpaka kwenye Radios, Control modules na vifaa vingine vingi sana vya umeme na electronics.

Na wewe siku ukinunua kitu used kama nilichotaja hapo juu uchomwe moto?

Hayo maduka unayoyaona humo ilala wengine vitu wananunua humuhumu mitaani.
 
Hautakiwi kununua vifaa vya wizi mkuu...
Kipindi bus terminal ipo ubungo kuna siku alfajiri nilimsindikiza mtu pale na Wife,tukapark pembeni karibu kulikokua na vyoo,mimi nilimfikisha msafiri kwenye bus nikarudi kwenye gari maana nilikua siko vizuri kiafya,Wife akabaki na msafiri akisubiria bus hadi litakapoondoka,pale nilipopark na kiza cha alfajiri kumbe gari ya pembeni yangu jamaa ndio mnunuzi wa vitu vinavyoibwa kwenye magari,kumbe anaingia mle alfajiri anapaki then wezi wakiiba wanaenda kumuuzia kukianza kukipambazuka anasepa,nikawa nawachora tu na nahisi hadi walinzi wa mle ndani walikua wanamjua sema ndio hivyo tena
 
Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.

Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.

Picha na video zinatisha sana

View attachment 2388782

View attachment 2388786
Ukimkuta mtaani huwezi amini aisee! Kazi kweli kweli! Kuna kijana alinitapeli mpaka nikajiapiza sitakaa nitoe msaada kwa mtu wa kumwelekeza mahali! Wachomwe tu hawana adabu kabisa!
 
Video ni kali, kama hujawahi kupata masaibu ya kuibiwa utaiogopa na kutia huruma.

Nimeiona nikarewind matukio ya wizi yaliyowahi kunikuta na jinsi nilivyopitia hivyo vipindi, nikasema yess "kwanini na wale wezi walioniibia hawakukamatwa"?
bro Mwifwa nitumie na mimi pm bro niione
 
Back
Top Bottom