Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Swali alikamatwa kwenye mazingira gani?
A. Je alikamatwa red handed?
B. Au vilikamatwa vifaa vikiwa kwake?
Kama jibu ni A sawa ila kama jibu ni B huenda na yeye ameuziwa ni bora angeulizwa aliuziwa na na ni, but its late already.
Kama ndiyo mnunuzi wa mali za wizi,huyu ndiyo mbaya zaidi,maana ndiye sponsor......hapa kama ni B wameng'oa mzizi
 
Watanzania tujalibu kuwa na misahama isiyokuw na ukomo. Ebu fikiria thamani ya vifaa inalingana na thamani ya UHAI wa mtu, na kingine ukiona kazidi sana busi mkamate then umuajili nahc inawez ikaw suluhixho[emoji848]
Umewah kukutana na wazee wa kazi lakini? Wao kukuua ni dk 0 na hawajakuibia bado. Hawa watu hizi adhabu ni haki yao tu.
 
Sijui hawa watoto ...wanajiskiaje sasa na sijui wanaionaje jamii..
 
nyie watu huyu kijana mtanashati hivi, God forbid.
 
kuuwa sio sawa,,, kata mkono....toboa jicho 1...ateseke na maaumivu na nduguze wapambane kumuuguza......KAMA HUJAWAHI IBIWA......na MAISHA YAKASIMAMA KWA SIKU 1 TUU....huwezi jua maana ya KUWAADHIBU hawa JAMAA...
 
kuna hydrochloric acid kuanzia 80% to 100% hii ukipataa we mwagie mwizi kichwani tu. au hydrogen peroxide mwagie machoni huyo hatokaa aibe tena kwenye maisha yake

Na zote zinauzwa kwenye maduka ya vifaa vya maabara tena bei chee tu
Hiyo hydrochloric acid ndiyo kama ile aliyomwagiwa boss wa G-eS-eM miaka ile?
 
Najaribu kufikiri tukio hili lingefanyika moja ya nchi za Kiarabu. Tena ingetokea akakatwa mkono tu. Pasingetosha humu.

Kweli nyani haoni kundule.
We ni raia wa nchi za kiarabu au basi tu shobo na jamii isiyokuhusu kwa lolote ?!


Nenda kakae uarabuni basi uonyeshe uzalendo wako kwa jamii hiyo. Msyuuuuuuuuuuuuuuu [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anacheua moto kama ibilisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…