Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kama ndiyo mnunuzi wa mali za wizi,huyu ndiyo mbaya zaidi,maana ndiye sponsor......hapa kama ni B wameng'oa mziziSwali alikamatwa kwenye mazingira gani?
A. Je alikamatwa red handed?
B. Au vilikamatwa vifaa vikiwa kwake?
Kama jibu ni A sawa ila kama jibu ni B huenda na yeye ameuziwa ni bora angeulizwa aliuziwa na na ni, but its late already.