Anaupeo wahali ya juu. Alafu kumbe hata kwenye chuo alikuwa number moja.Yuko na plan pana sana.Huyu kijana ananikosha mnooooo
Sana, huyu kijana ana ndoto pana sana na Tanzania nimekua nikimfatilia na kumsikiliza naona package ya tofauti ndani yake na atafika mbali.Anaupeo wahali ya juu. Alafu kumbe hata mwenye chuo alikuwa number moja.Yuko na plan pana sana.
Lissu yeye yuko busy kusema tuwekewe vipangamizi.. Wenye akili zao na nia ya kulisaidia taifa ndio hawa. Magufuli muone huyo kijana kwenye post yeyote nyeti.. Mpe hata shirika fulani aliendesheSana, huyu kijana ana ndoto pana sana na Tanzania nimekua nikimfatilia na kumsikiliza naona package ya tofauti ndani yake na atafika mbali.
Alisha sema kuwa hataki kuajiliwa. Anataka kufanya investment kwenye technologyTatizo ni mambo yanayoendelea hapa kwetu..je. WATAMTAMBUA NAKUMHASHIMU?
Sent using Jamii Forums mobile app
In case you don't know, Ting Communication Limited is one of his handworks usifikiri ni mlalahoi kama unavyodhaniAaingalie, he might turn to be the dumbest person the world has never seen, kwani ni wataalamu wangapi wa hii nchi ambao leo wanashindwa kuufanyia kazi utaalamu wao kwa sababu ya matakwa ya wanasiasa ambao wengi wao hawana uwezo hata punje ya walio nao wao?
Ni pale wanataaluma kama kina shivji wanapokuwa hawana lao mbele ya wapiga domo. Ni pale failure wa kidato cha nne anapokuwa mkuu wa jeshi na kumlazimisha kitu flani professor wa taaluma flani. Yangu macho
Let's count on two years then.Huyu hajakataa mshahara scholarship yake ilihitaji arudi bongo kufanya Kazi 2 years ...
Let's count on two years then.
Let's count on two years then.