Kijana Benjamin Fernandes ameleta wanafunzi wa chuo cha HARVARD na STANFORD kupanda Mt. Kilimanjaro

Kijana Benjamin Fernandes ameleta wanafunzi wa chuo cha HARVARD na STANFORD kupanda Mt. Kilimanjaro

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kijana wa kitanzania mzalendo aliyekataa mshahara wa million 425 Marekani kutoka kwenye kampuni ya Bill Gates na kuludi nchini Tanzania. Ameleta wanafunzi wa chuo number moja duniani cha Harvard na Stanford kupanda mlima Kilimanjaro. Huu uwe mfano wakuigwa kati ya vijana wakitanzania na Kenya.
Screenshot_2017-08-01-14-22-04.png
Screenshot_2017-08-01-14-14-05.png
Screenshot_2017-08-01-14-18-41.png
Screenshot_2017-08-01-14-17-08.png
 
Kijana wetu huyu ana spirit ya ajabu kwenye taifa lake
 
Anaupeo wahali ya juu. Alafu kumbe hata mwenye chuo alikuwa number moja.Yuko na plan pana sana.
Sana, huyu kijana ana ndoto pana sana na Tanzania nimekua nikimfatilia na kumsikiliza naona package ya tofauti ndani yake na atafika mbali.
 
Sana, huyu kijana ana ndoto pana sana na Tanzania nimekua nikimfatilia na kumsikiliza naona package ya tofauti ndani yake na atafika mbali.
Lissu yeye yuko busy kusema tuwekewe vipangamizi.. Wenye akili zao na nia ya kulisaidia taifa ndio hawa. Magufuli muone huyo kijana kwenye post yeyote nyeti.. Mpe hata shirika fulani aliendeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaingalie, he might turn to be the dumbest person the world has never seen, kwani ni wataalamu wangapi wa hii nchi ambao leo wanashindwa kuufanyia kazi utaalamu wao kwa sababu ya matakwa ya wanasiasa ambao wengi wao hawana uwezo hata punje ya walio nao wao?
Ni pale wanataaluma kama kina shivji wanapokuwa hawana lao mbele ya wapiga domo. Ni pale failure wa kidato cha nne anapokuwa mkuu wa jeshi na kumlazimisha kitu flani professor wa taaluma flani. Yangu macho
 
Huyu hajakataa mshahara scholarship yake ilihitaji arudi bongo kufanya Kazi 2 years ...
 
Ikumbukwe amekataa millions of dollars kwenye bigger companies of Silicon Valley, Bill Gates amejaribu kumshawishi lakini wapii, ameamua kurudi nyumbani kujenga nchi yake na impacting the knowledge of Harvard to his local nationals anataka kuajiri multitudes and to raise national productivity and development.
 
Aaingalie, he might turn to be the dumbest person the world has never seen, kwani ni wataalamu wangapi wa hii nchi ambao leo wanashindwa kuufanyia kazi utaalamu wao kwa sababu ya matakwa ya wanasiasa ambao wengi wao hawana uwezo hata punje ya walio nao wao?
Ni pale wanataaluma kama kina shivji wanapokuwa hawana lao mbele ya wapiga domo. Ni pale failure wa kidato cha nne anapokuwa mkuu wa jeshi na kumlazimisha kitu flani professor wa taaluma flani. Yangu macho
In case you don't know, Ting Communication Limited is one of his handworks usifikiri ni mlalahoi kama unavyodhani
 
Back
Top Bottom