Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
#SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA.
Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea kuitekeleza kwa maendeleo ya Taifa letu, Je! Sisi Kama Vijana ni Fursa zipi za kiuchumi tunaweza kunufaika nazo moja kwa moja kupitia miradi hii?
#SisiTanzania kwa kushirikiana na taasisi nyingine za Vijana imeandaa Kongamano la kuzimulika fursa zitokanazo na mradi wa Bomba la Mafuta.
Tukutane UDSM - Nkurumah Hall 20 November, 2021.
#KijanaOngeaNaMwenzio
#VijanaNaMiradi
#Sisitanzania
#TYP
#HakiMwananchi
#TYEGD