Kijana changamkia fursa katika mradi wa bomba la mafuta

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
#SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA.

Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea kuitekeleza kwa maendeleo ya Taifa letu, Je! Sisi Kama Vijana ni Fursa zipi za kiuchumi tunaweza kunufaika nazo moja kwa moja kupitia miradi hii?

#SisiTanzania kwa kushirikiana na taasisi nyingine za Vijana imeandaa Kongamano la kuzimulika fursa zitokanazo na mradi wa Bomba la Mafuta.

Tukutane UDSM - Nkurumah Hall 20 November, 2021.

#KijanaOngeaNaMwenzio
#VijanaNaMiradi
#Sisitanzania
#TYP
#HakiMwananchi
#TYEGD

 

idara sijui gani zilikuja hapa kahama .tuliwapiga maswali mpaka wakakimbilia kwa mkuu wa wilaya wajibiwe
 
idara sijui gani zilikuja hapa kahama .tuliwapiga maswali mpaka wakakimbilia kwa mkuu wa wilaya wajibiwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo yalikuwa maswali korofi sio ya nia ya kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…