CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mafwele ameshamuua tayari huyo.
CCM HAINA MTU MJINGA KIASI HIKIPichani ni David Nkindikwa ni Mwanachama wa CCM lakin mitandaoni huwa anajiita Mwanaharakati Mzalendo.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Nkindikwa alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Samia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikuwa anakosoa sana Serikali na alikuwa haogopi
Juni 24 majira ya saa moja jioni alimuaga mkewe kwamba anaenda kumnunulia Ice Cream maana mkewe ni mgonjwa, tangu muda huo mpaka sasa hajarudi na simu zake zimezimwa jambo ambalo mkewe anasema sio kawaida yake.
Mwandambo walimla mtungo hadi leo hii akili zake zimekuwa kama za mtoto mdogo.Huyo ndiyo basi na kama akirudi lazima kina MFL wapite na MARINDA kama alivyopitiwa MWANDAMBO.
Wamemuharibu kisaikolijia ,watu wamemrekodi wanamla CHEMBA halafu wanamwambia akiendelea tu na ukosoaji wanazilikisha lazima akili ziwehuke.Mwandambo walimla mtungo hadi leo hii akili zake zimekuwa kama za mtoto mdogo.
Thadei Ole Mushi alilambishwa sumu na mangi na kada mwenzake Gilbert A Massawe .CCM walimpoteza hata kada wao Thadei Ole Mushi , hivyo hata huyo anaweza kupotea kwa namna hiyo.
Kuna huyu mpwa wa Magufuli ungemwambia miaka 7 iliyopita kuna siku angevamiwa asingeamini.View attachment 3620649
The Purge / Safisha Safisha ya Samia dhidi ya ya wanachama kindakindaki wa chama dola kongwe
TOKA MAKTABA :
Moja ya mazungumzo yake kibao yaliyo mtandaoni dhidi ya kukengeuka kwa watawala wa CCM
07 June 2026
#LIVE: KIJANA MZALENDO ANAFUNGUKA MAMBO MAZITO SAMIA KWENDA URUSI, "TUJIANDAE KUUMIA"
View: https://m.youtube.com/watch?v=G6zobdMSy6s
Kada wa CCM, David Levi Nkindikwa akinyoosha rula kwa maslahi mapana ya taifa letu ! Kwa utulivu mwanzo hadi mwisho anachambua ziara iliyofanywa katika miji ya Moscow na St. Petersburg ambapo Tanzania imegonga vichwa vya habari duniani kote
Ziara hii inakwenda kuiletea Tanzania nini chini ya serikali ya utawala wa Samia Suluhu Hassan kujijongeza kuwa karibu na taifa la Russia lililo katika vikwazo vikali vya kimataifa, vita ya miaka 4 baina ya Russia na Ukraine, historia ya Russia na mahusiano yake ya nje
Pole sana. Bado unaamini hizo 4R zilikulenga wewe na wananchi wengine? Nina uhakika asilimia 95 ya watanzania hawawezi kuzitamka/kuzisoma sembuse kuelewa maana yake. Na ndiyo maana haswa ziliwekwa kwa kiingereza... ili ziwalenge ''mabeberu'' kuwadanganya kwamba kuna nia nzuri. Halafu hili la kusema Samia hatawali hii nchi ni janga jingine kwa nchi hii. Kuhusu ku-deal na watu wasio na impact nalo unatakiwa kuelewa hawa watu lengo lao ni kuteka na kuua yeyote wanayetaka ili nchi iingie hofu. Hii ni technic aliyopewa na waarabu (ndiyo washauri wake wakubwa kwenye mambo ya ulinzi). Lengo jingine ni kuua ''mfumo Kristo'' wanaolalamikia siku nyingi kuwa umewabagua. Kama Samia atafanikiwa kubaki mpaka 2030, basi tegemea kuwa na vikundi vya mujahidin vyenye nguvu kubwa kuyumbisha nchi. Mnapigwa changa löa macho kuwa bodaboda wanapekekewa uarabuni kufanya kazi kumbe ni mujahidin mafunzoni.Nimeamini Samia hatawali hii nchi.
Honestly lipo genge linalotawala hii nchi.
Yaani wanahangaika na watu wadogo wadogo sana, wasio na impact kabisa..
Sasa mtu kama Dereva wa Lissu ana disturb vipi presidency ya Samia.
Kwann usichague kumpuuza.
Hana followers, hana ushawishi, hajulikani countrywide.
Huyu nkidikwa naye ni wa kudili nae kwa nguvu zote hizo.
Nasikia kuna mwingine wa chama marehemu UDP eti nae katekwa!
Sasa hizo 4R zinatekelezwaje sasa
Na huyo Gilbert bado anatishia watu humu .Thadei Ole Mushi alilambishwa sumu na mangi na kada mwenzake Gilbert A Massawe .
panya wewe.Thadei Ole Mushi alilambishwa sumu na mangi na kada mwenzake Gilbert A Massawe .
Dogo Tulia.Na huyo Gilbert bado anatishia watu humu .
Wewe kidampa muuaji mimi sio mdogo wako, halafu unaaga kwako unaenda kazini kumbe kazi ni kwenda kuua.Dogo Tulia.
nimekutisha wap?
mimi sitishii nafanya kweli dogo.
endelea kutumia account feki tu.
wewe ni bwana mdogo sana.Wewe kidampa muuaji mimi sio mdogo wako, halafu unaaga kwako unaenda kazini kumbe kazi ni kwenda kuua.
Vile visent ulivyopewa baada ya kumuua Ole Mushi najua vilishapukutika.
Umeua watu wangapi leo?
Ndio akili za damu ulizomwaga zinakutuma hivyo?wewe ni bwana mdogo sana.
Jina ndio linajibu hoja wewe kilaza, sheria gani humu inampangia mtu kutumia jina halisi.weka jina lako hadharani ujue kama kweli wewe ni mjanja
Katumikie mafisadi kuua watu ila mwisho wa watu aina yako sio mzuri.watu kama nyie ndio mnajikuta mashujaa kwa kutype makYu wewe
wewe ni mpumbavu tu.Ndio akili za damu ulizomwaga zinakutuma hivyo?
Anza kutafuta msaada wa kisaikolojia hiyo kazi chafu haina mwisho mzuri.
Jina ndio linajibu hoja wewe kilaza, sheria gani humu inampangia mtu kutumia jina halisi.
Katumikie mafisadi kuua watu ila mwisho wa watu aina yako sio mzuri.
Nenda kapokee posho yako wewe kidampa , leo umeua watu wangapi?wewe ni mpumbavu tu.