Kijana David Nkindikwa adaiwa kutoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

Juni 24 majira ya saa moja jioni alimuaga mkewe kwamba anaenda kumnunulia Ice Cream maana mkewe ni mgonjwa, tangu muda huo mpaka sasa hajarudi na simu zake zimezimwa jambo ambalo mkewe anasema sio kawaida yake.

04 August 2026

Wakili Azungumzia Kukamatwa Kwa 'Kijana Mzalendo' mwanaCCM Davidlevi Kindikwa : Siku 40 Polisi, Hajafikishwa Mahakamani

View: https://m.youtube.com/watch?v=mitaf2P0WOk
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 04, 2026, Wakili Kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, William Maduhu, ameeleza kuwa amefungua maombi rasmi Mahakama Kuu ya kutaka Davidlevi Kindikwa, afikishwe Mahakamani au kauchiwa huru.

Hii ni baada ya Kindikwa kushikiliwa kwa zaidi ya siku 40, ikiwemo siku kadhaa ambazo hakuna mtu yeyote aliyekuwa akifahamu alipo, au waliomchukua.

"Ndugu Kindikwa almaarufu kama kijana mzalendo alikamatwa na Jeshi la Polisi au na watu ambao waliojitambulisha kuwa ni Jeshi la polisi tarehe 25 June 2026 akiwa eneo la Kerege CCM Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani," anafafanua Wakili Maduhu William.

Wakili Maduhu anafafanua Kindikwa aliendelea kuhamishwa katika vituo mbalimbali. "Baada ya kundi hilo kumvamia ndugu Kindikwa au kijana mzalendo na kutokomea naye kusikojulikana mpaka ilipofika tarehe 27 June 2026, ndipo alipobaini kwamba yuko Kibaha mkoa wa Pwani na alikaa hapo kwa takribani siku tatu.

"Baadhi ya vituo vya Polisi alivyoendelea kupelekwa ni pamoja na:-Juni 27, 2026 mpaka Julai 09, 2026, aliwekwa katika kituo cha Oysterbay, Kindondoni DSM kisha -Julai 09, 2026 mpaka Julai 12, 2026, alipelekwa kituo cha Central, Dar es Salaam baadaye -Julai 12, 2026 mpaka Agosti 03, 2026, alirudishwa kituo cha Oysterbay, Dar es Salaam.

" Davidlevi Kindikwa au kijana mzalendo amekuwa chini ya mikono ya jeshi la polisi kwa takribani siku 40 sasa bila kupewa haki yake ya dhamana au kufikishwa mahakamani," anaeleza zaidi wakili Maduhu William

Source : The Chanzo
 
09 September 2026

KESI YA UGAIDI INAYOMKABILI KIJANA MZALENDO WA CCM

Hakimu Ameingia Mitini Kesi ya Kijana Mzalendo? Wakili MADUHU Adai Mawakili wa Serikali Kupendelewa

View: https://m.youtube.com/watch?v=yKIfp-cvARs
Davidlevi Kindikwa pia anaendelea kusota gereza la Mkuza Kibaha mkoa wa Pwani nchini Tanzania kwa kosa la jinai la ugaidi

Mfumo wa haki jinai criminal justice system ofisi ya DPP mkoa wa Pwani, hakimu hayupo yupo mkutanoni, kesi imehamishwa kutokana na sababu zisizoeleweka huku mtuhumowa wa ugaidi kijana mzalendo Davidlevi Kindikwa amefikisha siku 78 akiwa mahabu

Wakili Maduhu amehoji utendaji wa mahakimu, ofisi ya DPP mkoa. wa Pwani ...
 
Back
Top Bottom