Kijana David Nkindikwa adaiwa kutoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

Kijana David Nkindikwa adaiwa kutoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Pichani ni David Nkindikwa ni Mwanachama wa CCM lakin mitandaoni huwa anajiita Mwanaharakati Mzalendo.

Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Nkindikwa alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Samia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikuwa anakosoa sana Serikali na alikuwa haogopi

Juni 24 majira ya saa moja jioni alimuaga mkewe kwamba anaenda kumnunulia Ice Cream maana mkewe ni mgonjwa, tangu muda huo mpaka sasa hajarudi na simu zake zimezimwa jambo ambalo mkewe anasema sio kawaida yake.

dav.jpg



 
Huyu mtu nani anamfahamu? Maana kuna madai kwenye akaunti ya Maria Sarungi kwamba amepotea huyu mtu, binafasi hata simfahamu.

Mwenye kumfahamu naomba anifahamishe.
nadhani ni drama zile zile tu za siku zote kama ni madai ya master wa drama m.sarung🐒
 
Pichani ni David Nkindikwa ni Mwanachama wa CCM lakin mitandaoni huwa anajiita Mwanaharakati Mzalendo.

Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Nkindikwa alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Samia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikuwa anakosoa sana Serikali na alikuwa haogopi

Juni 24 majira ya saa moja jioni alimuaga mkewe kwamba anaenda kumnunulia Ice Cream maana mkewe ni mgonjwa, tangu muda huo mpaka sasa hajarudi na simu zake zimezimwa jambo ambalo mkewe anasema sio kawaida yake.

ni wawapi huyo kijana gentleman na anajishughulisha na nini?🐒
 
Hayati Kambarage alituachia mifumo mibaya sana ya kiutawala hasa hili la Katiba.
Niliongea namna nyerere alivyokipenda ccm kuliko Tanzania
 
Hatumjui bila shaka anavita na mbogamboga

The Purge / Safisha Safisha ya Samia dhidi ya ya wanachama kindakindaki wa chama dola kongwe

TOKA MAKTABA :
Moja ya mazungumzo yake kibao yaliyo mtandaoni dhidi ya kukengeuka kwa watawala wa CCM

07 June 2026

#LIVE: KIJANA MZALENDO ANAFUNGUKA MAMBO MAZITO SAMIA KWENDA URUSI, "TUJIANDAE KUUMIA"


View: https://m.youtube.com/watch?v=G6zobdMSy6s

Kada wa CCM, David Levi Nkindikwa akinyoosha rula kwa maslahi mapana ya taifa letu ! Kwa utulivu mwanzo hadi mwisho anachambua ziara iliyofanywa katika miji ya Moscow na St. Petersburg ambapo Tanzania imegonga vichwa vya habari duniani kote

Ziara hii inakwenda kuiletea Tanzania nini chini ya serikali ya utawala wa Samia Suluhu Hassan kujijongeza kuwa karibu na taifa la Russia lililo katika vikwazo vikali vya kimataifa, vita ya miaka 4 baina ya Russia na Ukraine, historia ya Russia na mahusiano yake ya nje
 
Back
Top Bottom