Nyerere alipenda sana chama cha CCM kuliko nchi ya Tanzania

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana

Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana

Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi

Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai
  1. Mabadiliko ya mwaka 1979
  2. Mabadiliko ya mwaka 1980
  3. Mabadiliko ya mwaka 1980
  4. Mabadiliko ya mwaka 1982
  5. Mabadiliko ya mwaka 1984
  6. Mabadiliko ya mwaka 1990
  7. Mabadiliko ya mwaka 1990
  8. Mabadiliko ya mwaka 1992
  9. Mabadiliko ya mwaka 1992
  10. Mabadiliko ya mwaka 1994
  11. Mabadiliko ya mwaka 1995

Mabadiliko 11 ya katiba yalifanyika wakati Nyerere akiwa hai ila cha ajabu haikuondoa mambo ambayo yanalalamikiwa kama madaraka makubwa ya Rais cha ajabu Nyerere mwenye alikuwa analalamikia madaraka makubwa ya Rais mpaka alinukuliwa akisema mkipata Rais mbovu atakuwa dikteta ila yakija mabadiliko haondoi hicho kinachomfanya Rais kuwa dikteta na kipo ndani ya katiba

Nyerere ni mwadilifu hili liko wazi hakuna anayebisha ila alisahau alitengeneza mfumo ambao unatoa mwanya kwa watu waliopewa dhamana kufanya ubadhirifu bila kichukuliwa hatua yeyote ile mfano katiba ya Tanzania inasema waziwazi bila kificho Rais akimaliza mda wake hatastakiwa hii ni hatari sana kama akipatikana Rais mbovu atafanya mambo akijua kabisa anakinga ya kutostakiwa swali la kujiuliza kwanini Nyerere aliruhusu kuwepo kwenye katiba sababu alikuwa ana uwezo wa kukitoa ila kwenye amendment zote zilizofanyika yeye akiwa hakuwa kukiondoa hiki kipengele ila akija majukwaani akawa anaendelea kulalamika madaraka ya Rais ni makubwa sana lakin jibu ni lile alikipenda sana chama kuliko nchi

Hata sasa hivi malalamiko ya katiba ni mengi ila sidhani kama kuna kiongozi aliyetoka ccm atakubali kuibadilisha katiba kama watu wengi wanavyodhani kwa sababu viongozi wengi wa ccm wanapenda chama kuliko nchi
 
Shida yenu nyie mkishalewa BRUTAL, mnataka Nyerere alitakiwa KUMALIZA MATATIZO yote kwa 100%.

Nyerere amekuwa Rais Tanzania kwa miaka 24.

Mnabweka kuhusu mfumo, ila mkiulizwa kuhusu huo mfumo hamjui chochote.
 
Hzi ni dalili za kukosa cha kuandika mitandaoni; badala yake inabidi uangukie tu kule kule kwenye lawama za kipuuzi.

Unajuwa Nyerere hayupo siku nyingi; hawezi kuja hapa na kueleza ujinga unaoletwa na wapuuzi wanaopenda kupigana mieleka na kivuli chake bila ya mafanikio yoyote.
 
Shida yenu nyie mkishalewa BRUTAL, mnataka Nyerere alitakiwa KUMALIZA MATATIZO yote kwa 100%.

Nyerere amekuwa Rais Tanzania kwa miaka 24.

Mnabweka kuhusu mfumo, ila mkiulizwa kuhusu huo mfumo hamjui chochote.
Mfumo ndo katiba
Ebu tuambie mfumo ni nini kama sio katiba
 
Hzi ni dalili za kukosa cha kuandika mitandaoni; badala yake inabidi uangukie tu kule kule kwenye lawama za kipuuzi.

Unajuwa Nyerere hayupo siku nyingi; hawezi kuja hapa na kueleza ujinga unaolewtwa na wapuuzi wanaopenda kupigana mieleka na kivuli chake bila ya mafanikio yoyote.
Jibu hoja kwanini kwenye amendment 11 akiwa hai kwanini hakuondoa jambo ambalo amekuwa akililamikia majukwaani ya madaraka makubwa ya Rais

Kwani ni uongo hakukua na amendment 11 za katiba ya Tanzania wakati Nyerere akiwa hai???
 
Kuna hoja gani katika takataka uletazo humu.
Mbali ya kichwa cha mada, sina muda wa kusoma takataka zihusianazo na maandishi yako. haya nilisha kueleza siku nyingi.
 
Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana

Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana

Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi

Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai
  1. Mabadiliko ya mwaka 1979
  2. Mabadiliko ya mwaka 1980
  3. Mabadiliko ya mwaka 1980
  4. Mabadiliko ya mwaka 1982
  5. Mabadiliko ya mwaka 1984
  6. Mabadiliko ya mwaka 1990
  7. Mabadiliko ya mwaka 1990
  8. Mabadiliko ya mwaka 1992
  9. Mabadiliko ya mwaka 1992
  10. Mabadiliko ya mwaka 1994
  11. Mabadiliko ya mwaka 1995

Mabadiliko 11 ya katiba yalifanyika wakati Nyerere akiwa hai ila cha ajabu haikuondoa mambo ambayo yanalalamikiwa kama madaraka makubwa ya Rais cha ajabu Nyerere mwenye alikuwa analalamikia madaraka makubwa ya Rais mpaka alinukuliwa akisema mkipata Rais mbovu atakuwa dikteta ila yakija mabadiliko haondoi hicho kinachomfanya Rais kuwa dikteta na kipo ndani ya katiba

Nyerere ni mwadilifu hili liko wazi hakuna anayebisha ila alisahau alitengeneza mfumo ambao unatoa mwanya kwa watu waliopewa dhamana kufanya ubadhirifu bila kichukuliwa hatua yeyote ile mfano katiba ya Tanzania inasema waziwazi bila kificho Rais akimaliza mda wake hatastakiwa hii ni hatari sana kama akipatikana Rais mbovu atafanya mambo akijua kabisa anakinga ya kutostakiwa swali la kujiuliza kwanini Nyerere aliruhusu kuwepo kwenye katiba sababu alikuwa ana uwezo wa kukitoa ila kwenye amendment zote zilizofanyika yeye akiwa hakuwa kukiondoa hiki kipengele ila akija majukwaani akawa anaendelea kulalamika madaraka ya Rais ni makubwa sana lakin jibu ni lile alikipenda sana chama kuliko nchi

Hata sasa hivi malalamiko ya katiba ni mengi ila sidhani kama kuna kiongozi aliyetoka ccm atakubali kuibadilisha katiba kama watu wengi wanavyodhani kwa sababu viongozi wengi wa ccm wanapenda chama kuliko nchi
Nyerere ni Moja ya sababu hatuna Africa Moja, Nkrumah alimtuhumu kuwa ni kibaraka wa wazungu yawezekana kweli. Akaanzisha kijumuiya Cha East Africa nacho kikamfia akaamua abaki na Zanzibar
 
Katiba ya Tanzania imefanyiwa amendment mara 14 na mara 11 katika hizo zilifanyika wakati Nyerere akiwa hai alafu unapata audacity ya kuita takataka yaani facts unaziita takataka
 
Unajuwa maana ya 'fact' ni nini?
Kwamba Nyerere alisema(aliagiza) pasiwepo na mabadiliko yoyote/nyakati zote katika uhai wa taifa hili; hizo ndizo "fact"?
Eti 'audacity', ni kitu gani kinachokufanya wewe uje hapa kuhoji nyakati tofauti na hizi ulizomo sasa. Kwa nini huna hiyo 'audacity' ya kuwahoji hao wanaokushibisha sana na kukutuma ukawakingie kifua kwa uchafu wanaofanya sasa na kuugeuza kuwa wa aliyofanya Nyerere?

Kwa nini huwahoji hao wa wakati huu, na unaona rahisi zaidi kuhoji ya nyakati tofauti kabisa na hizi zilizopo sasa?

Huna akili ya ya kukuwezesha kudadisi hayo, ila unayo tu ya kudadisi nyakati za Nyerere?
 
Nyerere ni Moja ya sababu hatuna Africa Moja, Nkrumah alimtuhumu kuwa ni kibaraka wa wazungu yawezekana kweli. Akaanzisha kijumuiya Cha East Africa nacho kikamfia akaamua abaki na Zanzibar
Africa moja ingekuwa na faida gani, ingetatua matatizo gani ambayo sasa hayawezi kutatuliwa kwenye ngazi ya nchi, ingekuwa na nini cha ziada?
 
Huwezi iachia nchi katiba kama hii na mda huo uliokuwa na room ya kuifanyia mabadiliko mara 11 na bado hukuondoa tatizo la msingi alafu tuamini ulikuwa unaipenda nchi hapana
Kuipenda nchi ni kuamru yafanyike yaliyofanyika miaka hamsini iliyopita bila ya mabadiliko?
Maana yako ya kuipenda nchi ni nini?
CCM kama chama kinafanyia kazi zake wapi

Maana yako ni kwamba Nyerere alitaka CCM ivuruge nchi, ili iweje?

Kama kaipenda sana CCM na siyo Tanzania; Tanzania inapovurugika kama ilivyo sasa, CCM itakuwa wapi na hali gani?

Sasa unaandika mambo kama kichwani huna akili kabisa.
 
Unaichia nchi katiba mbovu na wewe mwenyewe unakiri ni mbovu alafu unategemea nini mambo mengine ni ya ajabu sana
 
Unajuwa maana ya 'fact' ni nini?
Kwamba Nyerere alisema(aliagiza) pasiwepo na mabadiliko yoyote/nyakati zote katika uhai wa taifa hili; hizo ndizo "fact"?
Eti 'audacity', ni kitu gani kinachokufanya wewe uje hapa kuhoji nyakati tofauti na hizi ulizomo sasa. Kwa nini huna hiyo 'audacity' ya kuwahoji hao wanaokushibisha sana na kukutuma ukawakingie kifua kwa uchafu wanaofanya sasa na kuugeuza kuwa wa aliyofanya Nyerere?

Kwa nini huwahoji hao wa wakati huu, na unaona rahisi zaidi kuhoji ya nyakati tofauti kabisa na hizi zilizopo sasa?

Huna akili ya ya kukuwezesha kudadisi hayo, ila unayo tu ya kudadisi nyakati za Nyerere?
Wabadilishe katiba ilihali inawafaidisha wao na watoto wao ebu mda mwingine kuwa unatumia akili

Wewe unaweza badilisha jambo ambalo linakufaidisha
 
Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana

Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana

Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi

Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai
  1. Mabadiliko ya mwaka 1979
  2. Mabadiliko ya mwaka 1980
  3. Mabadiliko ya mwaka 1980
  4. Mabadiliko ya mwaka 1982
  5. Mabadiliko ya mwaka 1984
  6. Mabadiliko ya mwaka 1990
  7. Mabadiliko ya mwaka 1990
  8. Mabadiliko ya mwaka 1992
  9. Mabadiliko ya mwaka 1992
  10. Mabadiliko ya mwaka 1994
  11. Mabadiliko ya mwaka 1995

Mabadiliko 11 ya katiba yalifanyika wakati Nyerere akiwa hai ila cha ajabu haikuondoa mambo ambayo yanalalamikiwa kama madaraka makubwa ya Rais cha ajabu Nyerere mwenye alikuwa analalamikia madaraka makubwa ya Rais mpaka alinukuliwa akisema mkipata Rais mbovu atakuwa dikteta ila yakija mabadiliko haondoi hicho kinachomfanya Rais kuwa dikteta na kipo ndani ya katiba

Nyerere ni mwadilifu hili liko wazi hakuna anayebisha ila alisahau alitengeneza mfumo ambao unatoa mwanya kwa watu waliopewa dhamana kufanya ubadhirifu bila kichukuliwa hatua yeyote ile mfano katiba ya Tanzania inasema waziwazi bila kificho Rais akimaliza mda wake hatastakiwa hii ni hatari sana kama akipatikana Rais mbovu atafanya mambo akijua kabisa anakinga ya kutostakiwa swali la kujiuliza kwanini Nyerere aliruhusu kuwepo kwenye katiba sababu alikuwa ana uwezo wa kukitoa ila kwenye amendment zote zilizofanyika yeye akiwa hakuwa kukiondoa hiki kipengele ila akija majukwaani akawa anaendelea kulalamika madaraka ya Rais ni makubwa sana lakin jibu ni lile alikipenda sana chama kuliko nchi

Hata sasa hivi malalamiko ya katiba ni mengi ila sidhani kama kuna kiongozi aliyetoka ccm atakubali kuibadilisha katiba kama watu wengi wanavyodhani kwa sababu viongozi wengi wa ccm wanapenda chama kuliko nchi
Watu wanafiki wa hili taifa mmojawapo ni huyo mzee. Ni kweli aliipenda ccm kuliko Tanganyika ndo maana alituuza Zanzibar ila angaunganisha Afro shirazi na Tanu kuwa ccm. Ila hakuunganisha Zanzibar na Tanganyika kuwa moja.
 
Back
Top Bottom