Hakuwataka "mkae kimya", ndiyo sababu aliyaelezea muyajue. Hakuawaagiza muwe vikaragosi vya kukubali mnayotendewa sasa.anacholalamikia alafu baada ya hapo anarudi tena majukwaani kuendelea kulalamikia alafu unataka tukae kimya hapana
Hakuwataka "mkae kimya", ndiyo sababu aliyaelezea muyajue. Hakuawaagiza muwe vikaragosi vya kukubali mnayotendewa sasa.anacholalamikia alafu baada ya hapo anarudi tena majukwaani kuendelea kulalamikia alafu unataka tukae kimya hapana
nani kasema "wakubali rahisi"?Unafanyaje juhudi ilihali walioko madarakani wanafaidika na mfumo a.k.a katiba unadhani watakubali kirahisi
Lazima tudiscuss legacy ya Nyerere mbona akisifiwa alalamiki yaani unachukia watu wakiongea mabaya yake sasa si udikteta huonani kasema "wakubali rahisi"?
Ndiyo maana nakushauri, badala ya kupoteza muda na hayo ya Nyerere; elekezea ngvu zako katika kuchangia harakati za mabadiliko.
Mabadililko hayatakuja kwa kumlalamikia Nyerere alichofanya wakati wake.
Ujinga wake ni nini!?Wazo la Africa moja ni wazo la hovyo, and I'm glad it will never happen.
Yeye ndo chanzo cha haya ya sasaHakuwataka "mkae kimya", ndiyo sababu aliyaelezea muyajue. Hakuawaagiza muwe vikaragosi vya kukubali mnayotendewa sasa.
Maana unayoijuwa wewe kuhusu hilo neno 'legacy' ni kulazimisha mambo ya enzi za zamani kwa enzi mpya?Kwa umri wako hujui hata maana ya legacy ni ajabu sana
Kulazimisha ilihali bado tunatumia katiba ya mwaka 1977Maana unayoijuwa wewe kuhusu hilo neno 'legacy' ni kulazimisha mambo ya enzi za zamani kwa enzi mpya?
Huwezi kamwe kuhoji 'legacy' ya Nyerere katika hivi viandishi vya kipuuzi namna hii.
Sikumbuki kuwa Nyerere aliwahi kutumia 'internet' katika uhai wake wote; sasa unataka tuseme Nyerere alaumiwe kwa kutowawezesha waTanzania wa wakati wake kutumia mabadiliko hayo mapyaYeye ndo chanzo cha haya ya sasa
Legacy ya Nyerere haihusiani chochote na mabadiliko yatakayotokea Tanzania kwa enzi zote.Kulazimisha ilihali bado tunatumia katiba ya mwaka 1977
Unajua katiba ya mwaka 1977 ni moja ya legacy ya nyerere
Nyerere hajamtuma Samia akauwe waTanzania ili abaki madarakani; akili yako itakuwa inafanya kazi tofauti sana kwa kufikiri hivyo.Yeye ndo chanzo cha haya ya sasa
Kama hujui hata katiba ya sasa ni moja ya legacy ya Nyerere basi unasafari ndefu sana kifikraLegacy ya Nyerere haihusiani chochote na mabadiliko yatakayotokea Tanzania kwa enzi zote.
Legacy yake inahusu yaliyofanyika wakati wake siyo nyakati zote wa uwepo wa taifa hili.
Kuna viongozi chungu nzima wataacha 'legacy' zao nyakati mbalimbali za uongozi wao.
Ujinga wake ni nini!?
Kwamba kuingia nchi jirani kwa passport ni ujanja ila mzungu anakuja free. Mwisho Nyerere anakili alikosea
Samia yupo madarakani kwa mujibu wa katiba ya mwaka 1977 hajajiweka yeye mwenyeweNyerere hajamtuma Samia akauwe waTanzania ili abaki madarakani; akili yako itakuwa inafanya kazi tofauti sana kwa kufikiri hivyo.
Kabla hatuhapata akili Tundu Lissu aliwahi kusema kwa kuwa akili zilikuwa bado zimefungwa tulimlaumu sanaUkifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana
Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana
Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi
Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai
- Mabadiliko ya mwaka 1979
- Mabadiliko ya mwaka 1980
- Mabadiliko ya mwaka 1980
- Mabadiliko ya mwaka 1982
- Mabadiliko ya mwaka 1984
- Mabadiliko ya mwaka 1990
- Mabadiliko ya mwaka 1990
- Mabadiliko ya mwaka 1992
- Mabadiliko ya mwaka 1992
- Mabadiliko ya mwaka 1994
- Mabadiliko ya mwaka 1995
Mabadiliko 11 ya katiba yalifanyika wakati Nyerere akiwa hai ila cha ajabu haikuondoa mambo ambayo yanalalamikiwa kama madaraka makubwa ya Rais cha ajabu Nyerere mwenye alikuwa analalamikia madaraka makubwa ya Rais mpaka alinukuliwa akisema mkipata Rais mbovu atakuwa dikteta ila yakija mabadiliko haondoi hicho kinachomfanya Rais kuwa dikteta na kipo ndani ya katiba
Nyerere ni mwadilifu hili liko wazi hakuna anayebisha ila alisahau alitengeneza mfumo ambao unatoa mwanya kwa watu waliopewa dhamana kufanya ubadhirifu bila kichukuliwa hatua yeyote ile mfano katiba ya Tanzania inasema waziwazi bila kificho Rais akimaliza mda wake hatastakiwa hii ni hatari sana kama akipatikana Rais mbovu atafanya mambo akijua kabisa anakinga ya kutostakiwa swali la kujiuliza kwanini Nyerere aliruhusu kuwepo kwenye katiba sababu alikuwa ana uwezo wa kukitoa ila kwenye amendment zote zilizofanyika yeye akiwa hakuwa kukiondoa hiki kipengele ila akija majukwaani akawa anaendelea kulalamika madaraka ya Rais ni makubwa sana lakin jibu ni lile alikipenda sana chama kuliko nchi
Hata sasa hivi malalamiko ya katiba ni mengi ila sidhani kama kuna kiongozi aliyetoka ccm atakubali kuibadilisha katiba kama watu wengi wanavyodhani kwa sababu viongozi wengi wa ccm wanapenda chama kuliko nchi
Nyie wajinga mnamuona Nyerere kama Mungu wenu akiguswa tu mnatoa milio ya mbwa koko wajinga nyieKuna hoja gani katika takataka uletazo humu.
Mbali ya kichwa cha mada, sina muda wa kusoma takataka zihusianazo na maandishi yako. haya nilisha kueleza siku nyingi.
Kila alichofanya Mzee Nyerere kilikuwa na malengo wa kisiasa Tu kama ulivyosema aliunganisha vyama Tu😅😅Watu wanafiki wa hili taifa mmojawapo ni huyo mzee. Ni kweli aliipenda ccm kuliko Tanganyika ndo maana alituuza Zanzibar ila angaunganisha Afro shirazi na Tanu kuwa ccm. Ila hakuunganisha Zanzibar na Tanganyika kuwa moja.
Mabaya yake ni yapi; hayo ya marekebisho ya katiba wakati wake, na hakuwazuia kuendelea kufanya marekebisho kuendana na nyakati zenu?Lazima tudiscuss legacy ya Nyerere mbona akisifiwa alalamiki yaani unachukia watu wakiongea mabaya yake sasa si udikteta huo
Mkuu kwani lazima utukane huwezi kutoa maoni yako kistarabu?Nyie wajinga mnamuona Nyerere kama Mungu wenu akiguswa tu mnatoa milio ya mbwa koko wajinga nyie