Nyerere alipenda sana chama cha CCM kuliko nchi ya Tanzania

Hzi ni dalili za kukosa cha kuandika mitandaoni; badala yake inabidi uangukie tu kule kule kwenye lawama za kipuuzi.

Unajuwa Nyerere hayupo siku nyingi; hawezi kuja hapa na kueleza ujinga unaoletwa na wapuuzi wanaopenda kupigana mieleka na kivuli chake bila ya mafanikio yoyote.
Mtoa mada ameeleza mabadiliko ya katiba ambayo yote yamefanyika huyo nyerere akiwa hai, na kwenye hutoba zake analalamika madaraka ya rais kuwa makubwa and yet hakufanya chochote na alikuwa ana influence ya kufanya mabadiliko.
 
Kama naa yeye alilalamika, kwa nini hukuungana naye katika kuleta hayo mabadiliko
 
Nyerere ni Moja ya sababu hatuna Africa Moja, Nkrumah alimtuhumu kuwa ni kibaraka wa wazungu yawezekana kweli. Akaanzisha kijumuiya Cha East Africa nacho kikamfia akaamua abaki na Zanzibar
Africa moja ingekuwa na faida gani, ingetatua matatizo gani ambayo sasa hayawezi kutatuliwa kwenye ngazi ya nchi, ingekuwa na nini cha ziada?

Wazo la Africa moja ni wazo la hovyo, and I'm glad it will never happen.
 
Kuendelea kumlaumu Nyerere hadi leo mtu aliyetoka madarakani over 40 years ago ni sawa na kumlaumu babu yako for your failures. Baba yako had a chance to turn things around na wewe ushakua mtu mzima unaweza kubadilisha maisha yako ila bado unalia babu babu. Huo ni ujinga.
 
Mtoa mada ameeleza mabadiliko ya katiba ambayo yote yamefanyika huyo nyerere akiwa hai, na kwenye hutoba zake analalamika madaraka ya rais kuwa makubwa and yet hakufanya chochote na alikuwa ana influence ya kufanya mabadiliko.
Hiyo ndo point yangu ila jamaa kakaza fuvu
 
Kuendelea kumlaumu Nyerere hadi leo mtu aliyetoka madarakani over 40 years ago ni sawa na kumlaumu babu yako for your failures. Baba yako had a chance to turn things around na wewe ushakua mtu mzima unaweza kubadilisha maisha yako ila bado unalia babu babu. Huo ni ujinga.
Hujui nguvu ya Nyerere na hujui maana ya legacy

Mimi naongelea mambo ya nchi na sio matatizo yangu binafsi
 
D

Duuh, short circuit
Hapana. Hapo nimetumia Direct Current, badala ya Alternating Current kwa maksudi kabisa; hakuna 'short circuit' ya aina yoyote iliyotokea.
Kama umepata 'shock' utakuwa na matatizo binafsi kama huyo mwenzio.
 
Hujui nguvu ya Nyerere na hujui maana ya legacy

Mimi naongelea mambo ya nchi na sio matatizo yangu binafsi

Over 40yrs toka atoke madarakani mmeshindwa kubalisha mambo yenu na kumove on? Huo ni ujinga wenu kuliko Nyerere.

Kuzaliwa maskini sio kosa lako ila kufa maskini ni kosa lako entirely. Hii sio applicable at the personal level ony bali kote.
 
'Premise' ya hiyo unayoiita "maana" yako ni mbovu, na unataka watu wakubali upumbavu?
Mtu alalamikie katiba itampa Rais nafasi ya kuwa dikteta alafu yanakuja mabadiliko hafanyi chochote kuondoa anacholalamikia alafu baada ya hapo anarudi tena majukwaani kuendelea kulalamikia alafu unataka tukae kimya hapana
 
Ngoja WATAKA TIFU waje wakujibu leo mpaka siku Takatifu🙏
 
Mtu alalamikie katiba itampa Rais nafasi ya kuwa dikteta alafu yanakuja mabadiliko hafanyi chochote kuondoa anacholalamikia alafu baada ya hapo anarudi tena majukwaani kuendelea kulalamikia alafu unataka tukae kimya hapana
Ni kipi usichokielewa. Wewe upo sasa na unaona makosa yote yaliyotokana na aliyofanya wakati wa Nyerere.
Fanya juhudi za kuyarekebisha haya unayoyashuhudia sasa badala ya kuja hapa kupoteza muda kupigana mieleka na kivuli cha mtu ambaye hayupo tena.
 
Unafanyaje juhudi ilihali walioko madarakani wanafaidika na mfumo a.k.a katiba unadhani watakubali kirahisi
 
Back
Top Bottom