Kijana David Nkindikwa adaiwa kutoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

Nimeamini Samia hatawali hii nchi.
Honestly lipo genge linalotawala hii nchi.
Yaani wanahangaika na watu wadogo wadogo sana, wasio na impact kabisa..

Sasa mtu kama Dereva wa Lissu ana disturb vipi presidency ya Samia.
Kwann usichague kumpuuza.
Hana followers, hana ushawishi, hajulikani countrywide.

Huyu nkidikwa naye ni wa kudili nae kwa nguvu zote hizo.
Nasikia kuna mwingine wa chama marehemu UDP eti nae katekwa!

Sasa hizo 4R zinatekelezwaje sasa
 
CCM HAINA MTU MJINGA KIASI HIKI
 
Huyo ndiyo basi na kama akirudi lazima kina MFL wapite na MARINDA kama alivyopitiwa MWANDAMBO.
 
Nyakati zimetulazimisha kusikia mtu kapotea,katekwa n.k ni kitu cha kawaida sana!
Play safe!
 
Kwa hizi nondo, mbogamboga lazima wamteke
 
Pole sana. Bado unaamini hizo 4R zilikulenga wewe na wananchi wengine? Nina uhakika asilimia 95 ya watanzania hawawezi kuzitamka/kuzisoma sembuse kuelewa maana yake. Na ndiyo maana haswa ziliwekwa kwa kiingereza... ili ziwalenge ''mabeberu'' kuwadanganya kwamba kuna nia nzuri. Halafu hili la kusema Samia hatawali hii nchi ni janga jingine kwa nchi hii. Kuhusu ku-deal na watu wasio na impact nalo unatakiwa kuelewa hawa watu lengo lao ni kuteka na kuua yeyote wanayetaka ili nchi iingie hofu. Hii ni technic aliyopewa na waarabu (ndiyo washauri wake wakubwa kwenye mambo ya ulinzi). Lengo jingine ni kuua ''mfumo Kristo'' wanaolalamikia siku nyingi kuwa umewabagua. Kama Samia atafanikiwa kubaki mpaka 2030, basi tegemea kuwa na vikundi vya mujahidin vyenye nguvu kubwa kuyumbisha nchi. Mnapigwa changa löa macho kuwa bodaboda wanapekekewa uarabuni kufanya kazi kumbe ni mujahidin mafunzoni.
 
Dogo Tulia.

nimekutisha wap?

mimi sitishii nafanya kweli dogo.


endelea kutumia account feki tu.
Wewe kidampa muuaji mimi sio mdogo wako, halafu unaaga kwako unaenda kazini kumbe kazi ni kwenda kuua.

Vile visent ulivyopewa baada ya kumuua Ole Mushi najua vilishapukutika.

Umeua watu wangapi leo?
 
Wewe kidampa muuaji mimi sio mdogo wako, halafu unaaga kwako unaenda kazini kumbe kazi ni kwenda kuua.

Vile visent ulivyopewa baada ya kumuua Ole Mushi najua vilishapukutika.

Umeua watu wangapi leo?
wewe ni bwana mdogo sana.

weka jina lako hadharani ujue kama kweli wewe ni mjanja

watu kama nyie ndio mnajikuta mashujaa kwa kutype makYu wewe
 
wewe ni bwana mdogo sana.
Ndio akili za damu ulizomwaga zinakutuma hivyo?

Anza kutafuta msaada wa kisaikolojia hiyo kazi chafu haina mwisho mzuri.
weka jina lako hadharani ujue kama kweli wewe ni mjanja
Jina ndio linajibu hoja wewe kilaza, sheria gani humu inampangia mtu kutumia jina halisi.
watu kama nyie ndio mnajikuta mashujaa kwa kutype makYu wewe
Katumikie mafisadi kuua watu ila mwisho wa watu aina yako sio mzuri.
 
wewe ni mpumbavu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…