Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Huu uongo wa kwamba kujichua kuna madhara hayo sijui ulitoka wapi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo utafiti umefanyia wapi???Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana.
Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na video hizo jambo linalopelekea kujichua huku wakivuta kumbukumbu kupitia video walizozitazama.
Tukio hili la kujichua huendelea katika fikra za vijana huku wakiwa na wapenzi wengi wa kufikrika(sawa na kuota ndoto unamiliki ghorofa kubwa,unapoamka unagundua ilikuwa ni ndoto) , jambo linalopelekea kuathirika kisaikolojia na kushindwa kabisa kuhimili tendo la ndoa pindi wakutanapo na wanawake halisi, maana uume husinyaa kabisa na kushindwa kufanya tendo la ndoa maana fikra zimegawanyika.
MADHARA YA PUNYETO
Madhara ya punyeto ni mengi sana, kumbuka mtu aliyezoea kujichua maana yake anamiliki wanawake wengi wa kufikirika, hivyo unapofikia wakati wa kuwa na mke halisi fikra hutatanika kwa kukumbuka wapenzi wale wa kufikrika aliofanya nao ngono kwa njia ya kujichua. Na kwa kuwa mke halisi ni mmoja na wale wa kufikrika ni wengi, akili hushindwa kutambua upande upi ni bora kwake, hivyo uume kushindwa kusimama vyema kwa sababu ya mwathiriko wa kisaikolojia.
Kumbuka tendo la ndoa hufanyika tu pale akili inapokuwa na utulivu. Madhara mengine ya mtu aliyejichua kwa muda mrefu ni;
1.Kuathirika(kusinyaa) kwa mishipa ya uume, hivyo kushindwa kujaa damu inayopelekea kusimama kwa uume wakati wa tendo la ndoa.
2.Kuathirika kwa mfumo wa mkojo, jambo linaloweza kusababisha tezi dume.
3.Kupungua kwa hisia za kufanya tendo la ndoa.
4.Kuathirika kwa mfumo wa uzalishaji wa mbegu za kiume.
5.Maumivu ya kichwa, mgongo, kiuno na uchovu mwingi kila wakati.
Madhara makuu zaidi ya mtu aliyeathirika na punyeto ni kupungukiwa nguvu za kiume na hivyo kupelekea kufika kileleni mapema zaidi wakati wa tendo la ndoa, Kwani mishipa ilishasinyaa na hivyo haiwezi kustahimili kubeba damu inayopelekea maumbile kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Kumbuka tiba ya Malaria siyo kulala kwenye chandarua wakati tayari una malaria, tiba ni kutumia dawa ili malaria ipone, na ushauri ni kulala kwenye chandarua ili usiumwe na mbu ukaugua malaria tena.
Hivyo kama ulifanya punyeto na imepelekea upungufu wa nguvu za kiume, suluhisho ni kutafuta tiba, na ushauri usirudie tena kufanya punyeto.
Ikiwa umeshindwa kabisa kuachana na zoezi Hilo au umekwishakupata madhara yatokanayo na zoezi Hilo,usisite kuandika hapa ili upate msaada zaidi.
We uvccm karatasi za utafiti ziko wapiina madhara kiuhalisia
Tafuta shughuli ya kukuweka bize kingine usipende kukaa peke yakoNimeanza kupiga nyeto 2013 na mara ya mwisho ni jana saa 3 usiku na nimeshindwa kuacha pia imeshaniathiri siwezi kufanya tendo halisi.
Msaada tafadhali nina miaka 25
Ukiingia bafuni wanakuimbia, Hasara baba Yule, Sadick baba Yule, Shukuru baba YuleHasara nyingine ni kumwaga watoto bafuni
Kirahisi namna hio?Tafuta shughuli ya kukuweka bize kingine usipende kukaa peke yako
Ukiachana na ukimwi, Wengine wakifilisika na kuishiwa na hela kabisa kutokana na kupeleka hela kwenye K, wanakuja kushauri vijana waache punyeto ili vijana wafilisike kama wao.Mkishapata ukimwi mnaanza kushauri vijana waache nyeto ili wawe kama nyie🚮
HahahaaUkiingia bafuni wanakuimbia, Hasara baba Yule, Sadick baba Yule, Shukuru baba Yule
Baba baba uyo
Baba baba uyo
Dadeq😂😂😂🙌🏾Mkishapata ukimwi mnaanza kushauri vijana waache nyeto ili wawe kama nyie🚮
Ni affordable piaJarida la fema waliwahi kuchapisha makala ya kusapoti punyeto as safe & cost effective way satisfaction.
KumekuchaMkishapata ukimwi mnaanza kushauri vijana waache nyeto ili wawe kama nyie🚮