Kijana fahamu madhara ya punyeto na mtu anayejichua kwa muda mrefu

Kijana fahamu madhara ya punyeto na mtu anayejichua kwa muda mrefu

Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana.

Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na video hizo jambo linalopelekea kujichua huku wakivuta kumbukumbu kupitia video walizozitazama.

Tukio hili la kujichua huendelea katika fikra za vijana huku wakiwa na wapenzi wengi wa kufikrika(sawa na kuota ndoto unamiliki ghorofa kubwa,unapoamka unagundua ilikuwa ni ndoto) , jambo linalopelekea kuathirika kisaikolojia na kushindwa kabisa kuhimili tendo la ndoa pindi wakutanapo na wanawake halisi, maana uume husinyaa kabisa na kushindwa kufanya tendo la ndoa maana fikra zimegawanyika.

MADHARA YA PUNYETO

Madhara ya punyeto ni mengi sana, kumbuka mtu aliyezoea kujichua maana yake anamiliki wanawake wengi wa kufikirika, hivyo unapofikia wakati wa kuwa na mke halisi fikra hutatanika kwa kukumbuka wapenzi wale wa kufikrika aliofanya nao ngono kwa njia ya kujichua. Na kwa kuwa mke halisi ni mmoja na wale wa kufikrika ni wengi, akili hushindwa kutambua upande upi ni bora kwake, hivyo uume kushindwa kusimama vyema kwa sababu ya mwathiriko wa kisaikolojia.

Kumbuka tendo la ndoa hufanyika tu pale akili inapokuwa na utulivu. Madhara mengine ya mtu aliyejichua kwa muda mrefu ni;

1.Kuathirika(kusinyaa) kwa mishipa ya uume, hivyo kushindwa kujaa damu inayopelekea kusimama kwa uume wakati wa tendo la ndoa.
2.Kuathirika kwa mfumo wa mkojo, jambo linaloweza kusababisha tezi dume.
3.Kupungua kwa hisia za kufanya tendo la ndoa.
4.Kuathirika kwa mfumo wa uzalishaji wa mbegu za kiume.
5.Maumivu ya kichwa, mgongo, kiuno na uchovu mwingi kila wakati.

Madhara makuu zaidi ya mtu aliyeathirika na punyeto ni kupungukiwa nguvu za kiume na hivyo kupelekea kufika kileleni mapema zaidi wakati wa tendo la ndoa, Kwani mishipa ilishasinyaa na hivyo haiwezi kustahimili kubeba damu inayopelekea maumbile kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.

Kumbuka tiba ya Malaria siyo kulala kwenye chandarua wakati tayari una malaria, tiba ni kutumia dawa ili malaria ipone, na ushauri ni kulala kwenye chandarua ili usiumwe na mbu ukaugua malaria tena.

Hivyo kama ulifanya punyeto na imepelekea upungufu wa nguvu za kiume, suluhisho ni kutafuta tiba, na ushauri usirudie tena kufanya punyeto.

Ikiwa umeshindwa kabisa kuachana na zoezi Hilo au umekwishakupata madhara yatokanayo na zoezi Hilo,usisite kuandika hapa ili upate msaada zaidi.
Kifupi huu ni utafiti uchwara,hauna facts
 
Nimeanza kupiga nyeto 2013 na mara ya mwisho ni jana saa 3 usiku na nimeshindwa kuacha pia imeshaniathiri siwezi kufanya tendo halisi.
Msaada tafadhali nina miaka 25
Umejuaje kuwa punyeto ndio imekuathiri kama sio uwongo
 
Akuna utafiti wowote wa kisayansi unaosema punyeto ina madhara kiovyo kama mnavyoaminishana bali ni nadharia za watu
 
Semen yote ila mwanaume jiamini hakuna njia ngumu kama unajiamini though ukimwi upo chukueni tahadhari pia!
 
Punyeto na iheshimiwe,,,,, ingekuwa na madhara wale wote tuliosoma kule KB 1980's rombo, tungekuwa waathirika woteeee, bado tunapuyanga hatariiii. Msiwatishe vijana.......nasema hivi.....IPIGENI PUNYETO, inaboresha afya ya AKILI pia.
 
KUUNDA PEPO KUPITIA PUNYETO NA UASHERATI

Wakati mtu anatoa mbegu bila sababu matone hayo ya mbegu hutoka na kupaa hewani.

Matone hayo hayaingii kikoa takatifu, na hazipati mahali pazuri.

Badala yake, zinatangatanga bila kusudi, na kuunda viumbe vya uharibifu ambavyo vinazurura ulimwengu.

Roho hizi zipo katika hali isiyokamilika, sio katika ulimwengu huu wala ijayo.

Wakati mtu aliyewaumba anaondoka kutoka kwenye ulimwengu huu, wanakuja mbele yake na kumshtaki, akisema:👇👇

Hautupi mwili, hakuna mahali, hakuna kusudi. Sasa tutashuhudia dhidi yako.

Kila tone la mbegu ambalo mtu hutoka vibaya hutengeneza roho za uharibifu ulimwenguni.

Roho hizi huzunguka na kuonekana mbele ya Mtakatifu, abarikiwe yeye.
Wanamwambia: Hatuna mwili na hakuna mahali pa kwenda.

Wanatangatanga ulimwengu na kuleta uchafu juu yake.

Na mtu anapoondoka kutoka kwa ulimwengu huu, roho hizi zinakuja kwake na kutoa ushahidi dhidi yake, na kumletea adhabu katika ulimwengu ujao.

Roho hizi zinajishughulisha na uchafu, KUUNDA nguvu kutoka kwenye vikosi vya upande mwingine .

Wanashikamana na maeneo ya uchafu na kupata riziki katika dhambi za wanadamu, na kusababisha watu kupotea zaidi.

Hii ndio sababu mwanaume lazima awe mwangalifu na mbegu yake, asije akaunda vikosi ambavyo vinamdhuru katika ulimwengu huu na mwingine.
1739595466687.jpg
 
KUUNDA PEPO KUPITIA PUNYETO NA UASHERATI

Wakati mtu anatoa mbegu bila sababu matone hayo ya mbegu hutoka na kupaa hewani.

Matone hayo hayaingii kikoa takatifu, na hazipati mahali pazuri.

Badala yake, zinatangatanga bila kusudi, na kuunda viumbe vya uharibifu ambavyo vinazurura ulimwengu.

Roho hizi zipo katika hali isiyokamilika, sio katika ulimwengu huu wala ijayo.

Wakati mtu aliyewaumba anaondoka kutoka kwenye ulimwengu huu, wanakuja mbele yake na kumshtaki, akisema:👇👇

Hautupi mwili, hakuna mahali, hakuna kusudi. Sasa tutashuhudia dhidi yako.

Kila tone la mbegu ambalo mtu hutoka vibaya hutengeneza roho za uharibifu ulimwenguni.

Roho hizi huzunguka na kuonekana mbele ya Mtakatifu, abarikiwe yeye.
Wanamwambia: Hatuna mwili na hakuna mahali pa kwenda.

Wanatangatanga ulimwengu na kuleta uchafu juu yake.

Na mtu anapoondoka kutoka kwa ulimwengu huu, roho hizi zinakuja kwake na kutoa ushahidi dhidi yake, na kumletea adhabu katika ulimwengu ujao.

Roho hizi zinajishughulisha na uchafu, KUUNDA nguvu kutoka kwenye vikosi vya upande mwingine .

Wanashikamana na maeneo ya uchafu na kupata riziki katika dhambi za wanadamu, na kusababisha watu kupotea zaidi.

Hii ndio sababu mwanaume lazima awe mwangalifu na mbegu yake, asije akaunda vikosi ambavyo vinamdhuru katika ulimwengu huu na mwingine.View attachment 3236738
Please give us a break. It is very early morning.

Maarasmitayo

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom