Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Lakini kutongoza sio mchezo,kazi moja ngumu sana,halafu saa nyengine mwanamke anakua anajua nini mwanamme anataka lakini dah!! wanawake Mungu anawaona lakini
Haaahaaa....tunataka tuone jasho na damu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo zaid utampata manzi anaepretend kuwa clasy
 


Kuna West Africans pia. Imagine accent zao zilivyo nzito kuliko hata zetu. Lakini wenzetu wanachanja mbuga tu..
 
Ungetolea mifano baadhi ya sehemu kwa Hapa Tz ambako wadada Classy wanapatikana. ..tujifunze japo kwa macho.
Meona eeh?....maana mara naona vichambo kama vyote while hatujui[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Awatumie PM basi hao class girls ili sisi wavaa dera tusichangie
 
Haha halafu naona watu wanatiririka bila kuangalia aina ya wanawake wanaozungumziwa hapa!! Naona wavaa madera wameanza vidole juu!!
Chief ungepeleka huu uzi Pm basi uwaonyeshe hao classy!

Umeuleta hapa ili kila mmoja atiririke anavyojua huh?
 
Ukishindwa Ralph Lauren kuna minyuko mingine pia ya kiwango chako... Ila pia utakuwa simple but expensive pia

Tunaelewa tofauti.
Wewe minyuko yako ndio hizo Ralph Lauren?
 
Warembo wa kibongo hizo mambo hawazijui, perfume walizo zoea ni hizi za kiarabu, tena spray tu, na ni dem mkali.

Mkuu we unaongelea madem wa huko mbele, huku bongo kuwa smart, ghetto safi na kausafiri kako mbona utawakimbia??!!
 
Kuna West Africans pia. Imagine accent zao zilivyo nzito kuliko hata zetu. Lakini wenzetu wanachanja mbuga tu..
haha..

ila mtoa mada anachojaribu kusema ni kuwa gentle, kupendeza...kama unataka ladiea wa type fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…